Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa josh waliobak weng mech kubwa wanafel ...
Mwaka jana Simba hawakufika mbali, waliishia robo fainali! Mwaka huu tumewaona wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO wamefika mbali sana hadi NIGERIA!
 
Umekimbilia haraka mno kuwalaumu mastreka.

Jana simba ilichokosa ni huduma ya kiungo mchezeshaji...
Point watu wanaangalia mpira magoli tu bila kujua magoli yanapatikanaje ?
 
Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa josh...
Utakuwa unaizungumzia Simba ya msimu wa 2018/2019 bila shaka.
 
We unaelewa unachozungumzia kweli?
Maana naona umesema kikosi kizima kina mapungufu, umefuatilia hata kikosi kweli?
Viungo wakabaji wote bado unataka tena?
Huyu atakuwa anazungumzia Simba ya 2018/2019.
 
Morrison ni mchezaji ambaye angekuwa anaacha masiara, kujiangusha, kufanya maamuzi haraka pengo la luis angeliziba shida ya yule bwana sijui ameathiriwa na nini?
Ana mapepo yule, kipaji kikubwa lakini haachi mizaha na kucheza na jukwaa.

Hakika angeacha masihara angeziba pengo la luisi, ila mapepo hayamruhusu kucheza vizuri na haitatokea akajirikebisha hadi afanyiwe maombi mazito
 
Point watu wanaangalia mpira magoli tu bila kujua magoli yanapatikanaje ?
Simba ni mojawapo ya timu inayo create nafasi nyingi za kufunga kwenye ligi ya ndani hata kimataifa. Rejea mechi ya kaiser chief kwa mkapa magoli yaliyokoswa na washambuliaji wetu, mechi nyingi ambazo ni tough kwa simba matokeo yamekuwa yakiamuliwa na viungo au beki kuliko washambuliaji rejea mechi ya alhaly, ya yanga kule kigoma pamoja na ya ligi.

Forward wetu wako dhaifu unapewa nafasi nne za wazi unafunga moja na dk zinakimbia
 
Simba ni mojawapo ya timu inayo create nafasi nyingi za kufunga kwenye ligi ya ndani hata kimataifa. Rejea mechi ya kaiser chief kwa mkapa magoli yaliyokoswa na washambuliaji wetu..
Unadhani inatokea hivyo kama bahati mbaya?

Au ni mfumo wa kocha ndio unaleta hilo swala?

Falsafa ya simba ni kumiliki mpira toka eneo la kiungo, kiungo ndio silaha ya simba.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana ukiibana simba kwenye kiungo hawapati matokeo sasa mechi za namna hiyo wakati mwingine ukiwa na forward wazuri wanaamua matokeo ambapo kwa simba kwa aina ya forward ile wanashindwa mechi za namna hiyo kipindi okwi yuko kwenye ubora wake alikuwa anaamua
 
Hilo ni jukumu la kocha kubadilisha mfumo.

Forwad ataamua mchezo kutokana na mipira ipi? Kama kiungo kimebanwa

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni jukumu la kocha kubadilisha mfumo.
Forwad ataamua mchezo kutokana na mipira ipi? Kama kiungo kimebanwa

Sent from my SM-M205F using JamiiForums
Si kila goli creater lazima awe kiungo kuna magoli forward anaweza funga kwa kupewa paso na beki. Forward wa simba magoli wanayofunga yaliyo mengi ni ya kutafuniwa
 
Back
Top Bottom