Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Asa hayo ni majukumu ya kocha, magoli yake anayatengeneza kupitia wapi.Si kila goli creater lazima awe kiungo kuna magoli forward anaweza funga kwa kupewa paso na beki. Forward wa simba magoli wanayofunga yaliyo mengi ni ya kutafuniwa
Huwezi mlaumu striker kama hapati huduma, ila akiwa anapoteza nafasi za wazi hayo ni makosa yake.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app