OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jana baada ya kufungwa tu walianza kutafuta goli ila ndo hivo mda haukutosha ,mda wote wangekuwa na ile spirit mechi ya jana tungeshinda ila ndo mchezoTuache dharau, tukaupige mwingi kama ilivyokuwa jana.
Ifike sasa kuingia makundi caf iwe ni kitu cha kawaida na ni lazima kwetu.
WordTuache dharau, tukaupige mwingi kama ilivyokuwa jana.
Ifike sasa kuingia makundi caf iwe ni kitu cha kawaida na ni lazima kwetu.
Ile spirit ya jana safi sana.Jana baada ya kufungwa tu walianza kutafuta goli ila ndo hivo mda haukutosha ,mda wote wangekuwa na ile spirit mechi ya jana tungeshinda ila ndo mchezo
Uwezo walikuwa nao ila kuna kawasiwasi wanaoIle spirit ya jana safi sana.
Wangeanzia nayo wangepinga goli nyingi. Ni aibuL
Simba hata fainali anaweza ingia lakini kwa forward ya kibu, kagere, boco na mgalu matumaini tuyaondoe.
Mechi ya jana wale tp wangekufa mapema tatizo ni hilo tu
Tayari ishakuwa ni costant KTuache dharau, tukaupige mwingi kama ilivyokuwa jana.
Ifike sasa kuingia makundi caf iwe ni kitu cha kawaida na ni lazima kwetu.
Haya ni maneno ya kibabe yenye ushindi ndani yake.Tuache dharau, tukaupige mwingi kama ilivyokuwa jana.
Ifike sasa kuingia makundi caf iwe ni kitu cha kawaida na ni lazima kwetu.
Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa josh waliobak weng mech kubwa wanafel ni vzur yule mkongo akacheza na josh maana simba si wazur kwa mipira ya kona au fauloViongozi wa Simba kuweni makini sana na muiandae timu kama vile inaenda kucheza na Zamalek, Mamelod, n.k. Achaneni kabisa na hawa waleta habari kuwa mnaenda kucheza na timu dhaifu. Kumbukeni kilichowakuta kwa kuidharau Kaizer.
We unaelewa unachozungumzia kweli?Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa...
Utopolo buana, uchambuzi wako lawama tupu, licha ya hayo simba ni timu nzuri na inaleta matumaini makubwa mbeleni.Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa josh...
Simba wakifungwa ndo wanaanzaga kuwa aggressive ,uwezo wanao tatizo hawapo aggressive na kila mchezaji anawasiwasi kutoa maboko ,jana Morison alikuwa anakaa sana na mpiraMazembe wameshinda kazi ya kocha na wachezaji kujitambua na walikuja kuvunja mwiko, kingine Mazembe walishinda sababu ya Mwamba Mkali the 24 shirt Zemanga Soze, anaupiga mwingi sana, Mrithi wa Chama sifuri RB kazi yake shoo shoo nyingi. Simba hawajui Offesinve play mpaka wafungwe, Simba ya kipumbavu ndio ile baada ya sub kuanza.
Ebu niambie ww eneo gani simba ambalo wamelifanyia maboresho kwa kuzingatia mapungufu ya msimu uliopita,ukiacha kusajili wachezaji ambao tunasubil matokeo ,kama unaongea kwa matumin ya kusubili cha mbele sawa lkn mm nimeongea kwa kuona kasoro za msimu ulioishaWe unaelewa unachozungumzia kweli?
Maana naona umesema kikosi kizima kina mapungufu, umefuatilia hata kikosi kweli?
Viungo wakabaji wote bado unataka tena?