Si kila goli creater lazima awe kiungo kuna magoli forward anaweza funga kwa kupewa paso na beki. Forward wa simba magoli wanayofunga yaliyo mengi ni ya kutafuniwa
Hata ya 2018_19 haikuwa na upungufu wote huo. Nilichojifunza wabongo ni watu wa lawama, na ili mtu uonekane unajua na una uchungu basi kosoa tu, bila kujali unajua au hujui we kosoa tu.