Mjue Konstantino Mkuu Kaisari wa kiroma ya kale

Sasa wapi hapo Yesu kamwambia kuwa utakuwa papa? NA nisehemu gani palipo andikwa kuwa kanisa hilo litakuwa ni Roman catholic?
aiseee kumbe palikuwa pamepamba moto kiasi hiki "" nilichelewa wapi aisee
 
haya maneno yako yana ukweli upi mkuu "" hebu toa na reference aisee
 
Duh kama mgabe
 
sjaelewa kwann mnatupa story za hawa watu hawatuhusu kabisaa yaan......sjui watu wa uhajemi na wazaram au wangindo wapi na wapi😱😱😱
[emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Wakatoliki hawajawai kumtangaza kaisari yeyote kuwa mtakatifu bali waliwahi kufanya hivyo ni waothodoks wa mashariki na walimtangaza mtakatifu huyu costantino mkuu
Yap ni kweli kabisa, wakatoliki hawamtambui huyu Constantino kama mtakatifu
 
lakini naona wasimuliaji wote mbakwepa kuleta desa lililoshiba juu ya chimbuko la ukariki hasa. ikiwemo sikukuu ya krismas december 25 mwenye kujua plz
 
lakini naona wasimuliaji wote mbakwepa kuleta desa lililoshiba juu ya chimbuko la ukariki hasa. ikiwemo sikukuu ya krismas december 25 mwenye kujua plz
Ndo kidudu gani hiko mkuu...?

Mkuu MTAZAMO naomba kujua kuhusu
Mashahidi wa uganda..
 
lakini naona wasimuliaji wote mbakwepa kuleta desa lililoshiba juu ya chimbuko la ukariki hasa. ikiwemo sikukuu ya krismas december 25 mwenye kujua plz
Kabla ya kuuliza hivyo ulipaswa kujua kwanza walikuwa kitu kimoja kabla hakujaibuka madhehebu ya kwanza ya kikristo ambayo yalikuwa ni mafarakano kati ya viongozi yaliyowagawanyisha pia waumini na kuibuka madhehebu mawili ya kwanza ya kikristo ya wakatoliki na waothodoks wa mashariki
 
cholopoa desa sasa. tujue nani alipotosha kweli
 
Kanisa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…