Pompey
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 399
- 241
Okey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey
mkuu naomba mstari unampa petro upapaPetro ndie papa wa kwanza mbona..
mwamba ni nani hapo Petro au Yesu?Ndio petro kafia Rome.
Mbona hiko cheo aliachiwa na yesu mwenyewe..? Soma hapa..
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Mathayo 16:18
Unajua historia ya petro..
?
Unajua papa ni nani?
Sawa kabisa [emoji106]Kabla ya hapo hapakua hapakuwa na mtu anayeitwa papa upapa ulikuja baadaye cha ajabu wanasema petro alikuwa papa wa kwanza
Sasa wapi hapo Yesu kamwambia kuwa utakuwa papa? NA nisehemu gani palipo andikwa kuwa kanisa hilo litakuwa ni Roman catholic?
Huo mwamba unaozungumziwa kujengwa kanisa ni Yesu mwenyewe na sio PetroNdio petro kafia Rome.
Mbona hiko cheo aliachiwa na yesu mwenyewe..? Soma hapa..
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Mathayo 16:18
Unajua historia ya petro..
?
Unajua papa ni nani?
Mwamba hapo ni Yesu mwenyeweKatika biblia jina mwamba linamtambulisha nani? Ni jina la nani kati ya Yesu na Petro
Yesu ndio mwamba mwenyewe ila mnachoshindwa kuelewana ni kuwa hapo mwanzo petro aliitwa simoniMwamba hapo ni Yesu mwenyewe
Haiwezekan kimantiki kanisa lijengwe juu ya Petro wakati Yesu ndio alikuja kufa kwa ajili ya kukomboa Wanadamu
So kanisa kujengwa juu ya Petro tena basi ujio wa Yesu Duniani utakuwa hauna maana na ni kumfanya Petro awe mkuu kuliko Yesu Kristo