Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mohamad Ali sio GOAT kwenye boxing.Laila Ali baada ya ushindi akiwa na baba yake mzazi ambae pia ndio King wa mchezo wa ngumi duniani Mohammad Ali (The Greatest)
Kama mabondia wakubwa duniani Mike Tyson, George Foreman, Lenox Lewis, Evander Holyfield, Joe Frazier, chama cha ngumi duniani kote na wanamichezo wengine wakubwa wanakubali kwa kauli zao wenyewe kuwa Muhammad Ali ni GOAT wa mchezo wa ngumi, wewe ni nani katika mchezo huo hadi upingane nao? Au itampunguzia nini katika nafasi aliyowahi kuwa nayo kabla ya kufa na anayoendelea kuwa nayo pia baada ya kufa?Mohamad Ali sio GOAT kwenye boxing.
Ila ni bondia mwenye nyota ya kupendwa na watu/bondia wa media.
Uzuri wa wenzetu hata apigane miaka 20 na awe mtu wa kupigwa vipi, kamwe hautokuja kumkuta na makovu kovu usoni kwake.pambaf wanatuharibia warembo wetu. mtoto mzuri anakua na ma misuli kama dume
Mwambie wenzie tulishaacha sex tunadili na pesa tuAlipotea njia, nahisi atakuwa mtu wa Tanga huyu anawaza mapenzi kila time 😀😂
Mohamed ali alikua ni zaidi ya boxer, mwamba alikua entertainer na mjanja mjanja ndani na nje ya ulingoKama mabondia wakubwa duniani Mike Tyson, George Foreman, Lenox Lewis, Evander Holyfield, Joe Frazier, chama cha ngumi duniani kote na wanamichezo wengine wakubwa wanakubali kwa kauli zao wenyewe kuwa Muhammad Ali ni GOAT wa mchezo wa ngumi, wewe ni nani katika mchezo huo hadi upingane nao? Au itampunguzia nini katika nafasi aliyowahi kuwa nayo kabla ya kufa na anayoendelea kuwa nayo pia baada ya kufa?
Obvious inajulikana vyema kuwa kitendo cha kukataa kwenda kuuwa raia wasiokuwa na hatia kule Vietnam na misimamo yake aliyokuwa nayo dhidi ya ubaguzi wa rangi ulikuwepo umeshamiri nchini kwake miaka ile kulisababisha afungiwe kupigana na kusafiri kokote kwa miaka mitatu, pia ifanyike mbinu ya kumdhoofisha na kumuharibia sifa yake aliyokuwa nayo ili kumkomoa. Lakini hivyo vyote havikuweza kusaidia kumuondolea heshima yake yote aliyokuwa nayo.
Labda kilichochangia kumshusha kwa namna fulan ni ugonjwa wa Parkinson (ugonjwa wa kukakamaa mwili) aliokuwa nao, ambao ulimfanya muda mwingine kushindwa kurusha ngumi, kushindwa kukwepa ngumi, kushindwa kudansi nk. Kila mtu anajua kwamba Muhammad Ali kabla ya ugonjwa wa Parkinson kumvamia yeye ndio aliekuwa bondia mwenye uwezo wa kurusha ngumi kwa speed isiyoweza kuonekana, kukwepa ngumi kwa namna ambayo haijawahi kutokea, na kudansi katika ring kwa namna ya peke yake.
Ni Muhammad Ali pekee aliekuwa tayari kuingia ulingoni kupigana hata wakati alipokuwa anaumwa ugonjwa hatari wa Parkinson, lakini bado hakuweza kuangushwa kwa KO. Kama hauujui ugonjwa wa Parkinson ingia google ukausome alafu uje uone Muhammad Ali alikuwa na moyo gani wa kupigana akiwa katika hali ile.
Usiwe mtu wa kukimbilia kupinga kitu ambacho hukuwahi kukifuatilia mkuu. Wewe ukiwa unapata muda kidogo, jaribu kuwa unapitia pitia hizi video na baadhi ya interview za mabondia wakubwa na wanamichezo mbali mbali wakimuongelea Muhammad Ali. Kila anaeongea anakiri kwa ulimi wake mwenyewe kuwa toka ulimwengu wa ngumi uanzishwe na mpaka pengine utakapoisha, hatopatikana bondia mwenye uwezo wa kumiliki ring ya ngumi kama Muhammad Ali. Haya sio maneno yangu, ni maneno yao mwenyewe ndomaana nimekuwekea picha ili uone namna ya kuzipata video hizo na kufahamu kile ninachoandika hapa.
Muhammad Ali he is a Goat. Aliukuta mchezo wa ngumi una zaidi ya miaka 200, lakini watu hawaufuatilii wala kuelewa. Yeye akauweka kwenye ramani na kuufanyia mambo makubwa mno mchezo huo zaidi ya mtu yoyote.
Jamaa anakuonea eti wewe mdini,kumbe sioLaila Ali alikuwa mkristo, baba yake Muhammad Ali ndo alikuwa muislam. So hiyo takbir sijui ni kwa ajili ya baba yake au nani?
Huyo bondia wa media na ana nyota ya kupendwa na watu ila hana u goat wowote labda umrank kwenye namba 10 huko na kuendelea .Kama mabondia wakubwa duniani Mike Tyson, George Foreman, Lenox Lewis, Evander Holyfield, Joe Frazier, chama cha ngumi duniani kote na wanamichezo wengine wakubwa wanakubali kwa kauli zao wenyewe kuwa Muhammad Ali ni GOAT wa mchezo wa ngumi, wewe ni nani katika mchezo huo hadi upingane nao? Au itampunguzia nini katika nafasi aliyowahi kuwa nayo kabla ya kufa na anayoendelea kuwa nayo pia baada ya kufa?
Obvious inajulikana vyema kuwa kitendo cha kukataa kwenda kuuwa raia wasiokuwa na hatia kule Vietnam na misimamo yake aliyokuwa nayo dhidi ya ubaguzi wa rangi ulikuwepo umeshamiri nchini kwake miaka ile kulisababisha afungiwe kupigana na kusafiri kokote kwa miaka mitatu, pia ifanyike mbinu ya kumdhoofisha na kumuharibia sifa yake aliyokuwa nayo ili kumkomoa. Lakini hivyo vyote havikuweza kusaidia kumuondolea heshima yake yote aliyokuwa nayo.
Labda kilichochangia kumshusha kwa namna fulan ni ugonjwa wa Parkinson (ugonjwa wa kukakamaa mwili) aliokuwa nao, ambao ulimfanya muda mwingine kushindwa kurusha ngumi, kushindwa kukwepa ngumi, kushindwa kudansi nk. Kila mtu anajua kwamba Muhammad Ali kabla ya ugonjwa wa Parkinson kumvamia yeye ndio aliekuwa bondia mwenye uwezo wa kurusha ngumi kwa speed isiyoweza kuonekana, kukwepa ngumi kwa namna ambayo haijawahi kutokea, na kudansi katika ring kwa namna ya peke yake.
Ni Muhammad Ali pekee aliekuwa tayari kuingia ulingoni kupigana hata wakati alipokuwa anaumwa ugonjwa hatari wa Parkinson, lakini bado hakuweza kuangushwa kwa KO. Kama hauujui ugonjwa wa Parkinson ingia google ukausome alafu uje uone Muhammad Ali alikuwa na moyo gani wa kupigana akiwa katika hali ile.
Usiwe mtu wa kukimbilia kupinga kitu ambacho hukuwahi kukifuatilia mkuu. Wewe ukiwa unapata muda kidogo, jaribu kuwa unapitia pitia hizi video na baadhi ya interview za mabondia wakubwa na wanamichezo mbali mbali wakimuongelea Muhammad Ali. Kila anaeongea anakiri kwa ulimi wake mwenyewe kuwa toka ulimwengu wa ngumi uanzishwe na mpaka pengine utakapoisha, hatopatikana bondia mwenye uwezo wa kumiliki ring ya ngumi kama Muhammad Ali. Haya sio maneno yangu, ni maneno yao mwenyewe ndomaana nimekuwekea picha ili uone namna ya kuzipata video hizo na kufahamu kile ninachoandika hapa.
Muhammad Ali he is a Goat. Aliukuta mchezo wa ngumi una zaidi ya miaka 200, lakini watu hawaufuatilii wala kuelewa. Yeye akauweka kwenye ramani na kuufanyia mambo makubwa mno mchezo huo zaidi ya mtu yoyote.
Kuna kijana ambae sio mfuatiliaji wa mchezo huu amekurupuka huko juu kudai kuwa Muhammad Ali sio GOAT. Yani yeye anajaribu kupingana na kina Tyson ambao wanakiri wenyewe kuwa Muhammad Ali alikuwa ni mkubwa zaidi ya mchezo wenyewe wa ngumi (boxer)Mohamed ali alikua ni zaidi ya boxer, mwamba alikua entertainer na mjanja mjanja ndani na nje ya ulingo
Mkiwa mnapigwa ukuni mnajiliza sana fyooofyoooofyoooo kelele tupu mnataka sifa? Au mnataka Pesa iongezwe? Shillings ngap bei yake?Mwambie wenzie tulishaacha sex tunadili na pesa tu
Huyo jamaa ni mdini wa kupitiliza. Nilienda kumjibu kwa uzi wake. Lakini baadae nikaamua niachane nae maana nimegundua kuwa anataka nitumie muda mwingi kubishana na yeye ili kujaza comment kule alikoanzishia uzi.Jamaa anakuonea eti wewe mdini,kumbe sio
🤣🤣🤣🤣kuna nini kwani we?Mkiwa mnapigwa ukuni mnajiliza sana fyooofyoooofyoooo kelele tupu mnataka sifa? Au mnataka Pesa iongezwe? Shillings ngap bei yake?
Mnachosha sana umekaa nyumbani unasikia nyumba ya Pili jitu zima linajiliza fyooofyoooofyoooo unajiuliza kuna nini kuja kushtuka kumbe limekalia mti huko linajiliza mnaboa mbaya zaidi ndani halipo na Mwanaume linapiga mkonobao🤣🤣🤣 mbona nje ya mada sasa?
🤣🤣🤣🥵aisee.....nimekoma aiseeMnachosha sana umekaa nyumbani unasikia nyumba ya Pili jitu zima linajiliza fyooofyoooofyoooo unajiuliza kuna nini kuja kushtuka kumbe limekalia mti huko linajiliza mnaboa mbaya zaidi ndani halipo na Mwanaume linapiga mkonobao
Rocky alikuwa anapigana na mabondia wabovu mno, plus na rangi yake ilimbeba kwa kipindi hicho. Wacheza ngumi waliokuwepo enzi zake na wale wa baada ya enzi zake kama kina Tyson Furry, Lenox Lewis, Evander, Mike Tyson sio wajinga kukubali kuwa Ali ni GOAT, tena wameenda mbali kwa kusema kuwa Muhammad Ali alikuwa ni zaidi ya boxer.Huyo bondia wa media na ana nyota ya kupendwa na watu ila hana u goat wowote labda umrank kwenye namba 10 huko na kuendelea .
Ukisema Muhammad Ali ni Goat ,Rocky Marciano tumuitaje?
Ali ana loses 5 ,Rocky Marciano amestaafu akiwa Lineal champion na undefeated heavyweight na hakuna heavyweight ambaye mpaka anastaafu hajawahi kupigwa zaidi ya huyu mwamba na rekodi yake ya mapambano 49, 43 ameshinda kwa K.O na ametoa sare Moja ,hajawahi kupigwa na amestaaafu kama lineal champion .
U lineal champion huo akaja kuupata Wldmir Klitschko kabla ya kuvuliwa na Tyfon Fury ambaye ndiye Lineal Champion mpaka sasa.