Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Majuu hawapigani kama Mandonga kila siku pambanoMapambano 24 tuu.. mbona machache ivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuu hawapigani kama Mandonga kila siku pambanoMapambano 24 tuu.. mbona machache ivo
Pambano moja linaandaliwa baada ya muda gani?Mapambano 24 tuu.. mbona machache ivo
Mkuu Claressa Shield mimi namfahamu sana, lakini hauwezi kumfananisha na Laila Ali.Hivi nyie mshawahi kumuona claressa shields
Tatizo mkuu mkiona mtu kaandika historia ya mtu msiomjua au msiomkubali, huwa mnakimbilia ku comment na wengine kubisha bila kusoma na kujua kile anachobishia.Hivi huyo laila mara ya mwisho kupigana ni lini???
Mwamba uliem quote anaonekana sio mfuatiliaji sana wa ngumi. Alaf ni kama vile ana mtu wake ambae amemuwekea opinion tayari. Hivyo hata akiuona ukweli wa Laila atatafuta njia za kupindisha pindisha ilimradi kuangalia njia ya kukwepa kuandika ukweli.Hivi nyie mshawahi kumuona claressa shields
Hivi huyo laila mara ya mwisho kupigana ni lini???
Hance Mtanashati mwamba njoo
Huku utusaidie kuweka mambo sawa
Ova
Ngumi za kichwa hizoMandonga sasaivi amekuwa kama jogoo linaloumwa ugonjwa wa kiwewe 😂😂
Mapambano ya ngumi hayapiganwi hovyo.Akitembea anashtuka shtuka 😂😂
jack frazier alipigwa na lailaLaila Ali akiwa malkia wa ngumi Jackie Frazier atakuwa nani?
Yeye anafikiri mapambano ya ngumi ni kama mpira kwamba muda wowote mtu anaweza kuomba mechi na akakubaliwa. Ngumi ni mchezo wa hatari maana ni kati ya kuweka maisha yako hatarini, kujeruhiwa mwili au kushinda pambano. Hivyo inahitaji maandalizi na muda wa kutosha kabla ya kupambana na mtu.Mapambano ya ngumi hayapiganwi hovyo.
Umaskini wa Mandonga umemfanya abakwe na ngumi kila mara.
Profesheno wanacheza pambano moja kwa miaka 2 hadi mitatu kwa pambano moja.
Huo ni mchezo wa kifo huwezi chungulia kaburi kila siku
Mke kama huyo anadhibitiwa kupitia sheria za nchi tu pale anapofanya kosa la kisheria 😂😂😂Kuowa mke msomi na mpiganaji kama Laila, itakufanya ushindwe kabisa kumdhibiti pale anapofanya mambo ndivyo sivyo.
Sana sana utachezea kichapo 🤣🤣
Mkuu achana nae huyo kwa kuwa sio mfuatiliaji wa mambo ya ngumi, lakini pia ni hater wa huyu tunaemzungumzia hapa. Hivyo hata ukimueleza vipi bado atakimbilia kupinga tu kwa sababu moyo wake umeshamkataa Laila na umeaua kupinga tu.jack frazier alipigwa na laila
Kaishamtamani LAILA ALLY🤣🤣🤣 mbona nje ya mada sasa?
🤣🤣imenishangaza sanaKaishamtamani LAILA ALLY