Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

Muhammad Ali alikuwa ni mtu mwingine kabisa
 
Umenikumbusha ngoma ya the game ALI BOMAE ule mstari anasema " Got a bitch that look like Laila Ali sitting in my lap. Got a call from Skateboard, pick 'em up at Lax"
 
Muhammad Ali alikuwa ni mtu mwingine kabisa
Safi kabisa, yani wewe ni kati ya watu wenye upeo wa hali ya juu katika ufuatiliaji wa karibu wa mchezo huu wa ngumi. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae anaefuatilia ngumi hajui uwezo mkubwa aliokuwa nao Muhammad Ali ulingoni.

Hata bondia aliekuwa ana ngumi nzito zaidi pengine hata ya Tyson, na uwezo mkubwa wa kuangusha watu ulingoni katika prime yake Mr George Foreman aliwahi kukiri mwenyewe kuwa Muhammad Ali alikuwa mkubwa na mwenye uwezo kuliko hata mchezo wenyewe wa ngumi. Na alikiri kuwa Muhammad ni 'Greatest'.

George Foreman: The punches he did not hit me when i was going down made him the greatest of all time.

Hayo ni maneno ya bondia ambae aliwahi kupigana na mabondia wa uzito wa juu watano katika ulingo, na akawapiga wote kwa siku 1 na kwa wakati mmoja. Lakini pamoja na uwezo huo aliokuwa nao bado aliangushwa na Ali katika round ya 8 tu ya mchezo wao kwa KO.
 
Umenikumbusha ngoma ya the game ALI BOMAE ule mstari anasema " Got a bitch that look like Laila Ali sitting in my lap. Got a call from Skateboard, pick 'em up at Lax"
😀😀😀 👍👍
 
Nikikumbuka pambano kati ya joe Frazier na big foreman, wote wakiwa kwenye ubora wao Frazier alipigwa kama mtoto, lilikua pambano rahisi sana kwa foreman. Wakati huo Joe alikua ametoka kumchapa Mohamed ali. Watu wakadhani foreman akikutana na ali anaenda kuua round ya 2, lakini mambo yakawa tofauti kabisa
 
Ngoja nikuache maana una ujinga mwingi.

Ila huyo Tyson ,Muhammad Ali alikuwa swahiba wake na ndiye aliyemshawishi hata yeye kubadili dini ,kwa hiyo kivyovyote lazima ampambe .
 
Correctly. Wewe inaonekana ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya ngumi ndomaana umeweza kumuelewa vizuri dada huyu.
Mimi ni mfuatiliaji wa michezo mingi, sema sina utaalam wa kuandika mambo yao kama wewe.
 
Kwa mujibu wa George Foreman mwenyewe alipohojiwa na kuulizwa kuhusu Ali, alikiri mwenyewe kuwa Muhammad Ali alikuwa ni mkubwa kuliko ukubwa wa mchezo wenyewe wa ngumi.

Hata huyo Joe Frazier alipigana na Ali mapambano matatu, ambapo kati ya hayo Joe kapigwa na Ali mapambano mawili, na yeye Joe akampiga Ali pambano moja tu.
 
Ngoja nikuache maana una ujinga mwingi.

Ila huyo Tyson ,Muhammad Ali alikuwa swahiba wake na ndiye aliyemshawishi hata yeye kubadili dini ,kwa hiyo kivyovyote lazima ampambe .
Kila unaloandika unaingiza udini. Yani wewe sijui una tatizo gani na dini. Pia sielewi faida unayoipata pale unapolazimisha kuingiza udini katika mambo yasiohusu udini.

Muhammad Ali alikuwa kipenzi wa kila mtu akiwemo Michael Jackson, mfalme wa soka Pele, kina Evander Holyfield, Lenox Lewis na mabondia wengine ambao wamekiri kumpenda Muhammad Ali na kujifunza mengi kupitia kwake.

Katika watu maarufu ambao walimpenda na kumkubali Ali asilimia kubwa walikuwa sio waislam, lakini kwa vile wewe una chuki na waislam basi umeacha kuwataja wote ukaamua ku deal na Tyson tena kwa kuingiza na swala la uislam wake.

Wewe inaonekana una chuki kubwa na waislam na kwa nchi kama Tanzania ambayo ina mchanganyiko wa watu wenye mafanikio wa dini zote ikiwepo hiyo ya uislam ambayo hauipendi nina imani utakuja kufa mapema kwa sababu ya chuki zako.
 
Obviously hujui boxing.
Achana nae huyo ana kitu kinachomfanya amchukie Ali, ukisoma comment zake moja moja na hasa ukiisoma aliyoandika katika comment namba 68 utaelewa ni kwanini toka huko juu anapingana na kila mtu anaemuelewesha kuhusu Muhammad Ali.
 
Kweli wewe ni taaahira.

Ninauchukiaje uislamu hali ya kuwa Mimi mwenyewe ni muislamu?
 
Kweli wewe ni taaahira.

Ninauchukiaje uislamu hali ya kuwa Mimi mwenyewe ni muislamu?
Sasa kama wewe ni muislam kulikuwa na sababu gani ya kuanza kuuhusisha uislam katika mada ambayo haikuwa inazungumzia habari za uislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…