Atakwambi hana sehemu maalum ya kuishi.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza mnene mno. Pole sanaNyinyi mujahidina huwa mnajifanya kujua sana wakati hebu wewe jifunge bomu ujilipue tuone kazi kukaa mitandaoni kutafuta Victims mitandaoni lakini ninyi aaa!!! Mnakula gahwa na kujamba jamba.
Huyu jamaa pia achunguzwe ni gaidi kila Uzi anawatetea Alshabaab hata kama ni uzi wa mtego anaingia kichwa kichwa.Mleta uzi ni mpumbavu fulani anae endeshwa na mihemko ya ujinga ulio kichwani mwake. Anadhani wote ni wajinga tuamini ule upuuzi alio andika.
MGC
Hahahaa unafurahisha sana aisee. Kwamba anawaficha Alshabaab kwenye milima [emoji23][emoji23]Huko Somalia anatumia fedha zake kuwafichaAlshaabab kwenye milima halafu wakianza kuhoji anaongea na Raisi ambaye ni Alshabaabu mwenzake na kuita Drones za wamarekani ili kuuwa wale alshabaabu wabishi.
Kuna mambo yamejificha sana huyu jamaa nimeshawatahadharisha nae.
Anza kunichunguza sasa unasubiri niniHuyu jamaa pia achunguzwe ni gaidi kila Uzi anawatetea Alshabaab hata kama ni uzi wa mtego anaingia kichwa kichwa.
Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTubeHuyu mbwa ni falla sana,halafu anaongea utadhani ni jambo la maana sana na la faida analoongelea,ananikumbusha yule wa tz aliyejirokodi kwa madaha akaanza kutukana polisi na kuidhihaki,akidhania yuko somalia kwa wapuuzi wenzie akaliwa kichwa fasta kabla hajapoa.
Hapa kwetu tuna wajinga flani wanadhani vyama vya upinzani ni tatizo.Mkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.
Yupi huyo? Na anaitwa nani?Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli wamepigwa na kuondolewa Kwenye Bandari zote silaha wanapewa na Mtandao wa huyu jamaa na wenzake.Mkuu Al-shabaab wana vyanzo vingi vya mapato kuna bandari ziko chini yao, wana kusanya ushuru, zaka na wana wafadhili dunia nzima kwaiyo hawa watu hela ya kununua silaha wanayo yakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli wamepigwa na kuondolewa Kwenye Bandari zote silaha wanapewa na Mtandao wa huyu jamaa na wenzake.
kuna video nimeiona leo jamaa lipo...linatumalizia tuu hewa hii ya AllahView attachment 997080
Hivi na hili bado lipo hai au wa Kenya ama wamarekani walishapasua kichwa chake na kumuwahisha moja kwa moja FIRDAUS Kwenda kuwashugulikia wale mabikira? maana siku hizi yale mavideo yake ya kijinga siyaoni mtandaoni
Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua?Najiulizaga weeee; hivi wanapataga nini kwa kuua watu hivyo!? Najiulizaga weeee, kwanini Waislamu wengi humu hua wanawaunga mkono!? Najiulizaga weee, hivi yale maneno ya Yesu kwamba, "mwivi (akiwa na maana ya shetani) haji ila kuua, kuchinja na kuharibu" hua yana maana ya hawa na dini yao? Ukweli sijawahi kupata JIBU kabisa. Mkristo ana hubiri hivi, "USIUE" wakati magaidi kwa jina la dini wana hubiri, "UENI kafiri". Huyu Mungu lazima sio mmoja kama tunavyo danganywa
Acha hata waisilamu pia wanauwawa na kwa kuvuta sigara na hawa Alshababu.Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua?
Inabidi watu wafahamu kwamba gaidi anatumia kichaka chochote ili kufanikisha lengo lake ijapokuwa kuna sababu tofauti zinazochangia mtu kuwa gaidi. Lakini watu hawataki kutanua bongo zao wanakazania kwenye vitu wasivyokuwa na elimu navyo.Acha hata waisilamu pia wanauwawa na kwa kuvuta sigara na hawa Alshababu.
Wakati wao wanakunywa vinywaji mbalimbali Whisky za aina mbalimbali Dry Gin za aina mbalimbali wanaowa wanawake leo kesho anafukuza anavunja bikra bila wasiwasi.wengine wanaowa wanawake wanne kwa mpigo,piga mimba halafu wanawafukuza.