Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Nyinyi mujahidina huwa mnajifanya kujua sana wakati hebu wewe jifunge bomu ujilipue tuone kazi kukaa mitandaoni kutafuta Victims mitandaoni lakini ninyi aaa!!! Mnakula gahwa na kujamba jamba.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza mnene mno. Pole sana

MGC
 
Mleta uzi ni mpumbavu fulani anae endeshwa na mihemko ya ujinga ulio kichwani mwake. Anadhani wote ni wajinga tuamini ule upuuzi alio andika.

MGC
Huyu jamaa pia achunguzwe ni gaidi kila Uzi anawatetea Alshabaab hata kama ni uzi wa mtego anaingia kichwa kichwa.
 
Huko Somalia anatumia fedha zake kuwafichaAlshaabab kwenye milima halafu wakianza kuhoji anaongea na Raisi ambaye ni Alshabaabu mwenzake na kuita Drones za wamarekani ili kuuwa wale alshabaabu wabishi.
Kuna mambo yamejificha sana huyu jamaa nimeshawatahadharisha nae.
Hahahaa unafurahisha sana aisee. Kwamba anawaficha Alshabaab kwenye milima [emoji23][emoji23]

MGC
 
Wale Mizoga wa Alshababu wako JAHANAMU hata mashamba ya mirungi imeungua na Pombe imekauka.
 
Hahahaa unafurahisha sana aisee. Kwamba anawaficha Alshabaab kwenye milima [emoji23][emoji23]

MGC
Unajichekesha kigaidi hapa jitie bomu sehemu ya haja kubwa halafu jilipue peke yako huko msituni
 
Huyu mbwa ni falla sana,halafu anaongea utadhani ni jambo la maana sana na la faida analoongelea,ananikumbusha yule wa tz aliyejirokodi kwa madaha akaanza kutukana polisi na kuidhihaki,akidhania yuko somalia kwa wapuuzi wenzie akaliwa kichwa fasta kabla hajapoa.
Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.
Hapa kwetu tuna wajinga flani wanadhani vyama vya upinzani ni tatizo.
Waendelee hivyo hivyo mwishowe watagundua kwamba mawazo yao hayakuwa sahihi mara kikianza kunuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashushushu wa Alshababu wamejaa Afrika ya Mashariki na kati nzima,Marekani na Uk ikisema raia wake wasitembelee Tanzania na Kenya sio mzaha wanakuwa wamepata mawasiliano ila huyu jamaa ni Raia wa Marekani na Ana paspoti ya huko
 
Mkuu Al-shabaab wana vyanzo vingi vya mapato kuna bandari ziko chini yao, wana kusanya ushuru, zaka na wana wafadhili dunia nzima kwaiyo hawa watu hela ya kununua silaha wanayo yakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli wamepigwa na kuondolewa Kwenye Bandari zote silaha wanapewa na Mtandao wa huyu jamaa na wenzake.
 
Ndugu zangu wapenda Amani wote msifikirie Alshababu ni Wasomali peke yao kuna kila aina ya mataifa wanafichwa na kutunzwa na kupewa maarifa na hawa jamaa
Ila huyu Jamaa ni mjanja sana huwa mara nyingine wakiwa ni wengi sana anawabagua wale wasomali wenzake anawaondoa wale wa jamii nyingine anaongea na Raisi wanaita Drones kutoka kuja kuwauwa waswahili na watu wa Mombasa.
 
View attachment 997080

Hivi na hili bado lipo hai au wa Kenya ama wamarekani walishapasua kichwa chake na kumuwahisha moja kwa moja FIRDAUS Kwenda kuwashugulikia wale mabikira? maana siku hizi yale mavideo yake ya kijinga siyaoni mtandaoni
kuna video nimeiona leo jamaa lipo...linatumalizia tuu hewa hii ya Allah
 
Najiulizaga weeee; hivi wanapataga nini kwa kuua watu hivyo!? Najiulizaga weeee, kwanini Waislamu wengi humu hua wanawaunga mkono!? Najiulizaga weee, hivi yale maneno ya Yesu kwamba, "mwivi (akiwa na maana ya shetani) haji ila kuua, kuchinja na kuharibu" hua yana maana ya hawa na dini yao? Ukweli sijawahi kupata JIBU kabisa. Mkristo ana hubiri hivi, "USIUE" wakati magaidi kwa jina la dini wana hubiri, "UENI kafiri". Huyu Mungu lazima sio mmoja kama tunavyo danganywa
Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua?
 
Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua?
Acha hata waisilamu pia wanauwawa na kwa kuvuta sigara na hawa Alshababu.
Wakati wao wanakunywa vinywaji mbalimbali Whisky za aina mbalimbali Dry Gin za aina mbalimbali wanaowa wanawake leo kesho anafukuza anavunja bikra bila wasiwasi.wengine wanaowa wanawake wanne kwa mpigo,piga mimba halafu wanawafukuza.
 
Acha hata waisilamu pia wanauwawa na kwa kuvuta sigara na hawa Alshababu.
Wakati wao wanakunywa vinywaji mbalimbali Whisky za aina mbalimbali Dry Gin za aina mbalimbali wanaowa wanawake leo kesho anafukuza anavunja bikra bila wasiwasi.wengine wanaowa wanawake wanne kwa mpigo,piga mimba halafu wanawafukuza.
Inabidi watu wafahamu kwamba gaidi anatumia kichaka chochote ili kufanikisha lengo lake ijapokuwa kuna sababu tofauti zinazochangia mtu kuwa gaidi. Lakini watu hawataki kutanua bongo zao wanakazania kwenye vitu wasivyokuwa na elimu navyo.
 
Back
Top Bottom