Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Jidanganye tu

MGC
 
Kwa hiyo ndugu zanguni tumeona kuwa mgunduzi wa Suicide Vest alikuwa ni mkristo Wapalesina wakaiga na wengineo wakaiga mpaka leo.

Kamwe mtu akikipa gari na kukuambia kaningoje mahala kama humuamini Usikubali anaweza kukufuata nyuma na Pikpiki au usafiri mwingine ukifika mahala muafaka anatumia Remote control na kulipua kilipuzi kilichomo ndani ya Gari hilo.
Trust No One.
 
Hawa Alshababu wa Vijijini huambiwa wakjilipua huko peponi watapata mito ya pombe wasichana 72 na mashamba ya Mirungi.
 

Doh ! Hii noma
 
Aiseeee, kweli ndo maana wachungaji na maaskofu wanafungwa Sana kwa mashtaka ya ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee, kweli ndo maana wachungaji na maaskofu wanafungwa Sana kwa mashtaka ya ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo msichana wa Kikristu wa Kitamil kutoka Sri lanka amejipenyeza huku kavaa Suicide Vest muda si mrefu baada picha hii kuchukuliwa Waziri Mkuu wa India Rajiv Ghandi alikufa pamoja na watu waliomzingira,kosa ni India kupeleka majeshi Sri Lanka kitu ambacho wakristu wa kitamil walikuwa wanasema Dini ya Wahindu inawasaidi Dini ya KiBudha.
 
Kuna uhakika gani kuwa wa hizo tuhuma zako usichokijua ni kuwa wafanyabiashara wa kisomali huwa wanafanya biashara zao kwa haki na uaminifu sana kiasi cha kutengenezewa kashfa na wafanyabiashara makanjanja kama wewe mleta uzi.

Kama unataka kuyaamini maneno yangu njoo hapa border ya sirari ubadilishe kiwango kikubwa cha fedha kwa wabadilishapesa wasiokuwa wasomali uone hasara utakayoipata.
 
Wale Waislamu mnao waita wenye itikadi kali wanamuabudu Allah (sw) na sio Mungu. Kuna mawaidha moja niliwahi kusikiliza kuhusu hiyo ishu, sheikh moja wa Mwanza anaitwa Abuu Ismail ameelezea vizuri mno tofauti kati ya Mungu na Allah (sw). Huyo sheikh sijui siku hizi yuko wapi aisee

MGC
 
Unadhani ni kwanini hato kubali??? Na unadhani ni sasa kukataa hizo sharia?

MGC
Ni ngumu sana na ziko wazi kitumika kuonea na kubagua kwa Mfano Kuna Kisa cha Msudani ambae ni muafrika mweusi alikuwa anafanya kazi ya Kuerekebisha AirCondition kwenye jengo moja lilikuwa halina Lifti watu wote wanatumia ngazi
Mara wakati anapishana na mama mmoja mjamzito wa Kisaudi yule mama akateleza na kuanguka na kufia hospitali
Yule bwana maskini akapelekwa Mahakamani na kukutwa na Hatia na Baadae kuchinjwa kwa Sheria za Kiislamu...pale ulitumika Ubaguzi wa Rangi tu and nothing else..Secularism ndio mpango mzima ila sheria ndogondogo za kidini na kimila ziheshimiwe.
 
Kwa nini isiwe Uganda na Burundi kwa nini isiwe Ethiopia na Djibouti kuna maswali mengi Nchi ambazo hajawekeza huyu bwana ndio zinashambuliwa.
Hakuna unacho jua, ni heri utulie tu mkuu.

MGC
 
Hawa Alshababu wa Vijijini huambiwa wakjilipua huko peponi watapata mito ya pombe wasichana 72 na mashamba ya Mirungi.
Ni kheri kutumia hekima kuliko kutumia mihemko ya kijinga tu. Ni wapi ulisikia kuwa huko peponi kuna mashamba ya Mirungi?

MGC
 
Ni kheri kutumia hekima kuliko kutumia mihemko ya kijinga tu. Ni wapi ulisikia kuwa huko peponi kuna mashamba ya Mirungi?

MGC
Ndivyo wanavyoambiwa hawa alshababu kuwa Wasichana Bikra za kutatua mwenyewe 72 mito ya Pombe ya Ajabu na Kila kijana atakuta Shamba la Mirungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…