Tafadhali naomba unipe japo Aya inayo onyesha kuwa watapewa mashamba ya MirungiNdivyo wanavyoambiwa hawa alshababu kuwa Wasichana Bikra za kutatua mwenyewe 72 mito ya Pombe ya Ajabu na Kila kijana atakuta Shamba la Mirungi.
Kumbe unaropoka tu kwa jinsi unavyo jisikia.!Wao wanakuwa Brainwashed na huyo jamaa hapo juu.
OK mkuu endelea kuropoka kadri uwezavyoMbona Pombe zipo Mabarmaid 72 wapo mirungi itakosekana kweli.ikisindikizwa na Shisha.
Kwanini iwe Kenya tu na si Tanzania??kuna kitu nyuma ya pazia kwa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza mnene mno. Endelea kuwaza ujinga tu.Wewe kama Mfuasi wa Hao wapuuzi kwa taarifa yako huu uzi kaa nao mbali.
Huu uzi Sio wa Extremist kutoka Dini yoyote.
Nyinyi mujahidina huwa mnajifanya kujua sana wakati hebu wewe jifunge bomu ujilipue tuone kazi kukaa mitandaoni kutafuta Victims mitandaoni lakini ninyi aaa!!! Mnakula gahwa na kujamba jamba.Usilolijua ni sawa na usiku wa giza mnene mno. Endelea kuwaza ujinga tu.
MGC
Hana chanzo wala nini, anakurupuka tu kuandika vile anajisikia. Ni kama ww ukurupuke kuanzisha uzi eti "Mfadhili wa Al Shaabab ni John" wakati huna uhakika wowote ule.
Hana chanzo wala nini, anakurupuka tu kuandika vile anajisikia. Ni kama ww ukurupuke kuanzisha uzi eti "Mfadhili wa Al Shaabab ni John" wakati huna uhakika wowote ule.
MGC
Huko Somalia anatumia fedha zake kuwafichaAlshaabab kwenye milima halafu wakianza kuhoji anaongea na Raisi ambaye ni Alshabaabu mwenzake na kuita Drones za wamarekani ili kuuwa wale alshabaabu wabishi.
Mleta uzi ni mpumbavu fulani anae endeshwa na mihemko ya ujinga ulio kichwani mwake. Anadhani wote ni wajinga tuamini ule upuuzi alio andika.Kichwa cha habari na maelezo haviko wazi vya kutosha.
Huyu ndie mwanzilishi? Kama sio nani mwanzilishi?
Huyu ndie mfadhili mkuu? Ina maana interpol wamemshindwa?
Huyu ndie CEO, comanding officer?
Anategemea kunufaika na nini?
Anaendeshaje biashara kama ni mtu anayetafutwa?
Familia yake iko wapi? nk
Sent using Jamii Forums mobile app