Dick mrisho
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 303
- 568
Kwaiyo jamaa kadedi au bado yu hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uzoefu na keko?
Inadaiwa walimpoteza maana haonekani miaka 4 inaenda.Kwaiyo jamaa kadedi au bado yu hai.
yule alikuwa Jeshi la mtu mmoja,Kuna watu wa jeshi lazima walikuwa wanamsaidia
Watoto wote wa keko wanapiga ngumi balaaNdio michong ya vibaka wa keko hio! Mchana dojo, usiku hawapoi! Ni kung fu za hatari 🤣🤣🤣
heh yupo au naye katangulizwaRock City kulwa sakala alitesa Sana enzi hizo.
Kule hata mtoto akikuvimbia bora ujifanye fala.Watoto wote wa keko wanapiga ngumi balaa
kaza wewe acha hizo!.. mtoto mdogo unamtia masingi mfululizoKule hata mtoto akikuvimbia bora ujifanye fala.
we MBOKOO unamjua au unamsikia? Eleweza kuwa alikuwa siyo mtu yule, panga halmkati, ngumi Kama unampapasaRisasi unaijua au unaisikia??? 🤔
Mkuu sijaiva kwenye masumbwi...Unaeza shangaa anaku bruce lee chap kwa ukali 😁😁😁kaza wewe acha hizo!.. mtoto mdogo unamtia masingi mfululizo
Wale madogo wanapenda Sana mchezo wa boxer ndiyo maisha YaoKule hata mtoto akikuvimbia bora ujifanye fala.
Huyu Ali restishwa na wanazengo wenyeweheh yupo au naye katangulizwa
Nakaziadmkali
Mlaleo
Mmeandika story ni kama vile matukio yalifanyika last week.
Kwa nn msielzee siku/mwaka wa matukio.
Dmkali ata hajamalizi kueleza kama huyo alishakufa,alishazeeka,ni mlemavu au alifungwa maisha gerezani baada ya kuhasiwa.
story haijitoshelezi ina ongeza mlundikano wa maswali.
Ma story teller mzingatie hayo jmn.
History bila tarh au mwezi au mwaka ni udaku.
Alikuwa anazo nguvu na uwezo kama kuliko Tembo? anaweza kupambana na Simba peke yake??, anaweza kuua Nyati kwa mikono mitupu?we MBOKOO unamjua au unamsikia? Eleweza kuwa alikuwa siyo mtu yule, panga halmkati, ngumi Kama unampapasa