Mjue Mchezaji mpira Jean Pierre Adams ambae bado yupo kwenye COMA kwa takriban miaka 38

😃😃😃 basi huyo Mungu hafai. .mbona anaonyesha kuwa utendaji wake umejaa upendeleo kwa baadhi ya watu. .wakati katika vitabu vyenu mnasema kuwa mungu ana upendo kwa wote. .mwenye upendo kwa watu wote anawezaje kuwa na upendeleo kwa baadhi ya watu kiasi hicho. ..?
 
Kuna Siri kubwa hapo, kwa Nini anafanya hivi. Na ikumbukwe Mungu hakutaka tuwe hivi Bali ilitokea baada ya Adamu na Hawa kuika maagizo.
 
Unaweza kuamua kumtelekeza halafu ukashangaa kila unalofanya linaenda kombo
Kabisa au unakosa amani ya moyo mwisho unakua mtu wa huzuni kila saa.
 
Mkuu ni kweli nenda YouTube andika Hilo Jina utapata taarifa zake
Mbona hata YouTube wapuuzi na waongo wapo kibao tu haukuona maelezo ya Mh mengi baada ya kufa akielezea kifo chake?
 
Kuna matukio hayapo wazi sehemu flani ya dunia ila kila kitu kikiwa wazi nahisi kuna asilimia flani ya wanadamu watabadirika kuliko mtu unavyofikikia walivyo😢!.
 
Huyo mwana mama ana ukwasi kiasi gani kuweza kumudu gharama za coma?

Maana kwa ufahamu wangu gharama kwa siku si chini ya milion3 kwa pesa za kibongo...
Anayo yake mkuu
 
Aisee, vp muonekano wake wa sasa!? Anazeeka au yupo vile vile kama miaka 38 iliyopita?
 
hata ww si una weza google jina la uyo mchezaj uone yasemwayo n kwel ama laa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…