Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.
Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.
Talk about kufanya mambo zima moto style!
Sikonge bwana! du! Hapa anajibu " Oh, mzee Obama, hilo swali sina jibu maana January hajaniandikia humu karatasini.......... twende kwenye hoja ya msingi, ombi langu la kuwaleta Chuck Norris, Van Damme na Beyonce vipi umelikubali? watanikuzia jina sana kuelekea uchaguzi kaka! ..." (joke)Dr Kikwete akiongea??? na Obama........... "Aiseee, sijui niliishia wapi kuongea....."
Sikonge bwana! du! Hapa anajibu " Oh, mzee Obama, hilo swali sina jibu maana January hajaniandikia humu karatasini.......... twende kwenye hoja ya msingi, ombi langu la kuwaleta Chuck Norris, Van Damme na Beyonce vipi umelikubali? watanikuzia jina sana kuelekea uchaguzi kaka! ..." (joke)
Sitoshangaa siku ukisema hata Dr. Slaa na yeye aliachaga shule akiwa darasa la tatu.Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.
Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.
Talk about kufanya mambo zima moto style!
Nina mjomba wangu mmoja ambaye ndiye aliyebaki mkubwa katika ukoo na alisoma mpaka darasa la nne Bush School. Katika vikao vya kifamilia akitoa speech yuko kiwango cha juu kuliko mzee wa mbayuwayu na degree yake ya uchumi. Sina maana ya kudharau elimu, la hasha elimu ndio kitu muhimu sana ktk kila jambo ila namaanisha wapo walio soma na bahati mbaya hawajaelimika. Na hapa JF utawatambua kwa hoja zao.
Hiyo yakusema ni darasa la saba ?? Labda kama kuna lingine kuhusu mgombea mwenza..
Tembelea hapa
Said Mzee MZEE - Tanzania | LinkedIn
Ndiye huyu ? Nafikiri tunahaki ya kujua zaidi kuhusu huyu mgombea...
Jamani naona kuna tatizo hapa. Mgombea mwenza anaitwa Said Mzee Said na si kama wengine mnavyotushawishi kwenye link zenu. Tunahitaji kuufaham ukweli maana ndiyo mgombea wa nafasi nyeti ya umakamu wa Rais.Hiyo yakusema ni darasa la saba ?? Labda kama kuna lingine kuhusu mgombea mwenza..
Hizi ni mbinu chafu za CCM kuidhoofisha CHADEMA. Tumewastukia.
Jamaa ana MBA na ni lecturer ZIFA hao wanaosema ni darasa la saba ni waongo na wanafiki tuwe makini huu ni wakati wa kampeni tutasikia mengi sana.
Think before you act
Hutaona wengine ni Kikwete tuUkipenda chongo...!
Wala hujui ninacho kipigania, pole sana!Hutaona wengine ni Kikwete tu