Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.

Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.

Talk about kufanya mambo zima moto style!

Mkuu wangu punguza bange!
 
Shule sio kigezo cha mtu kuwa kiongozi bora. Kuna leaders ambao wako talented na wakiwa na wasaidizi wazuri wanafanya kazi nzuri kabisa.
 
Jamani mtu anaweza kuwa na masters bila kuwa kidato cha nne. Tuanze hapo.
 
Dr Kikwete akiongea??? na Obama........... "Aiseee, sijui niliishia wapi kuongea....."

Obama-kikwete.jpg
Sikonge bwana! du! Hapa anajibu " Oh, mzee Obama, hilo swali sina jibu maana January hajaniandikia humu karatasini.......... twende kwenye hoja ya msingi, ombi langu la kuwaleta Chuck Norris, Van Damme na Beyonce vipi umelikubali? watanikuzia jina sana kuelekea uchaguzi kaka! ..." (joke)
 
Hahahahahahaha................
 
Ukiwa msomi unanafasi nzuri ya kutumia elimu uliyonayo kuleta mabadiliko ingawa kuna wasomi wengi hawawezi kutumia elimu yao kuleta mabadiliko! mfano mzuri ni mzeeJohn malecela hakuna mabadiliko aliyoyafanya elihali yeye ni msomo!
 
Wekeni pingamizi ndo mtaelewa kweli ni STD 7?
 
Hizi ni mbinu chafu za CCM kuidhoofisha CHADEMA. Tumewastukia.
Jamaa ana MBA na ni lecturer ZIFA hao wanaosema ni darasa la saba ni waongo na wanafiki tuwe makini huu ni wakati wa kampeni tutasikia mengi sana.
Think before you act
 
Kwani Zuma daras la ngapi?Na Lula Da Silva wa Brazil form ngapi?
 
Kweli hawa Chadema hawakuji andaa kusimamisha mgombea urais bali wamekurupuka tu (wame kurupushwa) Habari ya kutuletea mgombea mwenza ( makamu wa rais mtarajiwa ) kuwa mhitimu wa darasa la saba ni joke ya mwaka.

Dr Slaa anatetea hili na kudai Sokoine pia alikuwa na elimu ndogo anasahau au hajui au kwa makusudi anapotosha kuwa Sokoine alikuwa darasa la saba.

Talk about kufanya mambo zima moto style!

Sitoshangaa siku ukisema hata Dr. Slaa na yeye aliachaga shule akiwa darasa la tatu.
 
Nina mjomba wangu mmoja ambaye ndiye aliyebaki mkubwa katika ukoo na alisoma mpaka darasa la nne Bush School. Katika vikao vya kifamilia akitoa speech yuko kiwango cha juu kuliko mzee wa mbayuwayu na degree yake ya uchumi. Sina maana ya kudharau elimu, la hasha elimu ndio kitu muhimu sana ktk kila jambo ila namaanisha wapo walio soma na bahati mbaya hawajaelimika. Na hapa JF utawatambua kwa hoja zao.
 
Kama vikao vyenyewe vya familia ni harusi ,ndoa midundiko kwanini mjomba hasiwe bingwa
 
Hiyo yakusema ni darasa la saba ?? Labda kama kuna lingine kuhusu mgombea mwenza..

jamani naomba tuzingatie kwamba majina yanafanana sana Zanzibar, huyu mwenye masterssio huyo mgombea mwenza wa Dr Slaa, sometimes tukubali ukweli tu kwamba katika mgombea mwenza Chadema wamechemka, maana hata wao wenyewe, kama Dr Slaa anakubali hilo, sasa wewe unayetaka kubisha ndio kusema unamjua sana huyo mgombea mwenza kuliko Dr Slaa aliyemchagua au?
 
Tembelea hapa

Said Mzee MZEE - Tanzania | LinkedIn

08_10_177eaa.jpg

Ndiye huyu ? Nafikiri tunahaki ya kujua zaidi kuhusu huyu mgombea...

Hiyo yakusema ni darasa la saba ?? Labda kama kuna lingine kuhusu mgombea mwenza..
Jamani naona kuna tatizo hapa. Mgombea mwenza anaitwa Said Mzee Said na si kama wengine mnavyotushawishi kwenye link zenu. Tunahitaji kuufaham ukweli maana ndiyo mgombea wa nafasi nyeti ya umakamu wa Rais.
 
Hizi ni mbinu chafu za CCM kuidhoofisha CHADEMA. Tumewastukia.
Jamaa ana MBA na ni lecturer ZIFA hao wanaosema ni darasa la saba ni waongo na wanafiki tuwe makini huu ni wakati wa kampeni tutasikia mengi sana.
Think before you act

kama Dr Slaa mwenyewe kakubali kwamba mgombea mwenza ni SDT VII (yaani alivyofika LY akajua ndio mwisho wa elimu) we unataka kubisha ndio kusema unamjua sana au?
 
Kama kweli mgombea mwenza ni darasa la saba, basi chadema hawako serious. Yaani hata "NJUKA" hajafika na anataka awe makamu wa rais wa nchi yangu? Mungu epushia mbali pepo hizi. Ashindwe na anyong'onyee kama mchuzi wa bamia changa!!
 
Back
Top Bottom