Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

mara nyingi tunasikia mgombea wa CCM bilal kazungumza hivi kapita kule, tunamsikia Mh Duni wa CUF hata kwenye masuali ya bei ya kahawa huko mikoa ya bukoba sijui, ila mbona huyu wenu kimya ? yeye haongei au hakuna cha kuripotiwa maana kila wakati ni slaa tu, huyu running mate wake anafanya kazi gani ?
 

Pumba!
 
CHADEMA supporters wame hijack thread na kui spam na mipicha kibao bila kutoa majibu ya maswali.

I take it to mean they don't have valid answers.

Kuna habari kwamba mgombea wao wa umakamu wa rais sio tu ana elimu rasmi ya darasa la saba, bali pia hana uzoefu wa kazi yoyote.

CHADEMA mnaweza ku clarify ?
 
Hivi Mwinyi naye hakuwa na shahada ya chuo kikuu eeeh?
 

Mazee,

Vipi atakapokaimu urais? Atakuwa si muhimu? Siombei mabaya, lakini vipi kama rais atafariki na kumuachia madaraka ? Atakuwa si muhimu bado ?

Vipi kama Kennedy angechagua running mate mwenye elimu ya elementary level bila distinction yoyote kwa kutumaini kwamba makamu wa rais "si muhimu" ?
 

I've said it here somewhere that the vice president is a heart beat away from the presidency and in some countries, one of the things presidential candidates look at in searching for their running mate is whether that person can be president if it came down to it.

But I got excoriated by none other than the Lord Chief Justice, Lord High Admiral... Archbishop of Titipu, Lord Mayor and Lord High Everything Else aka Taso!!!
 

katibu mkuu wenu darasa la ngapi?
 

Ta.. who ? I thought that was my title !
 
katibu mkuu wenu darasa la ngapi?

Kwa hiyo CCM wakiwa na katibu mkuu asiye na sifa fulani hilo linahalalisha CHADEMA nayo kufanya hivyo? Mnataka kuwaiga CCM? Kwenye umakamu wa rais no less ? Wengine tulifikiri mnataka kuleta mageuzi na kuondoa upuuzi wa CCM, sasa mnatuambia mnataka kuiiga CCM ?

Two wrongs do not make a right.
 
Mimi naona Makamba yuko effective sana kwenye nafasi yake ya ukatibu mkuu wa CCM. I think he is very witty.
 

CHADEMA hili suala la Makamu wa Raisi (mgombea mwenza) linatukwaza sana, kulitumika vigezo gani kumpata? na mbona haonekani kwenye majukwaa? kila siku nawaona waongeaji walewale akina Dr. Slaa, John Mnyika nk why???????
sababu ameshateuliwa basi aandikiwe hotuba asome aanze kupata uzoefu kipindi hiki cha kampeni
 

du kaazi kwelikweli tutasikia mengi miezi miwili hii!!!naye huyu bwana kama kweli ni std 7(kitu ambacho mi siamini!!)alipata wapi nguvu za kukubali kuteuliwa kwenye dunia hii ya sasa???maana amekuwa kimya kama maji ya mtungi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…