Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
hahahahahahaha................
jamaa hawakubaliki ndio maana wamepata kihiyo...watanzania wote basi mukose hata wa form 6 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaha................
Hivi mtu wa darasa la saba anafaa kuwa makamu wa rais wa URT? shame on you chadema!
Kama nilivyotahadharisha zamani wamemtafuta mnafiki fulani huko zenj ambaye ana hili wala lile..geresha...
Yet another reason, kwamba chadema bado sana kupewa dhamana ..
Wachungaji (REV) ndio unavyowafundisha kondoo wako?
Kikubwa hapa ni Slaa. Wagombea-wenza Tanzania hawajawahi kuwa muhimu. Si Shein wala aliyemtangulia wamefahamika. Hili tumaini lililoibuka Tanzania sasa linatokana na kukubali kwa Slaa kuwa Mgombea. Mengine yote hayana neno. Nobody will think about hawa wagombea wenza wakati wa kukipigia CHADEMA kura.
Mazee,
Vipi atakapokaimu urais? Atakuwa si muhimu? Siombei mabaya, lakini vipi kama rais atafariki na kumuachia madaraka ? Atakuwa si muhimu bado ?
Vipi kama Kennedy angechagua running mate mwenye elimu ya elementary level bila distinction yoyote kwa kutumaini kwamba makamu wa rais "si muhimu" ?
Hivi mtu wa darasa la saba anafaa kuwa makamu wa rais wa URT? shame on you chadema!
Kama nilivyotahadharisha zamani wamemtafuta mnafiki fulani huko zenj ambaye ana hili wala lile..geresha...
Yet another reason, kwamba chadema bado sana kupewa dhamana ..
I've said it here somewhere that the vice president is a heart beat away from the presidency and in some countries, one of the things presidential candidates look at in searching for their running mate is whether that person can be president if it came down to it.
But I got excoriated by none other than the Lord Chief Justice, Lord High Admiral... Archbishop of Titipu, Lord Mayor and Lord High Everything Else aka Taso!!!
katibu mkuu wenu darasa la ngapi?
mara nyingi tunasikia mgombea wa CCM bilal kazungumza hivi kapita kule, tunamsikia Mh Duni wa CUF hata kwenye masuali ya bei ya kahawa huko mikoa ya bukoba sijui, ila mbona huyu wenu kimya ? yeye haongei au hakuna cha kuripotiwa maana kila wakati ni slaa tu, huyu running mate wake anafanya kazi gani ?
CHADEMA hili suala la Makamu wa Raisi (mgombea mwenza) linatukwaza sana, kulitumika vigezo gani kumpata? na mbona haonekani kwenye majukwaa? kila siku nawaona waongeaji walewale akina Dr. Slaa, John Mnyika nk why???????
sababu ameshateuliwa basi aandikiwe hotuba asome aanze kupata uzoefu kipindi hiki cha kampeni