njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Alikua bingwa wa kudai kodi huyo bwanaTupe historia yake sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua bingwa wa kudai kodi huyo bwanaTupe historia yake sasa
Makunganya nimeipata taarifa za awali hazikuwa sahihi huyu aliwauza waafrika wenzake alifanya biashara ya watumwa na pembe za ndovu.napata tabu kidogo huko nyuma niliambiwa ni ya Makungaya.
anaeleewa zaidi atusaidie.
anapotoa jibu hili na wengine watuambie Makunganya alikuwa nani?
Kukimbilia kusema "chai" badala ya kutafuta maarifa sahihi kunaonyesha ni jinsi gani taifa limeelemewa na mzigo wa vijana walio wavivu kwenye kutumia bongo zaoHii sio chai kweli ?View attachment 2792075
Huoni hapo alama ya kuuliza ? ikimaanisha sijui nimeuliza kwa info zaidi sababu uzi haujajitosheleza upo shallow sana.Kukimbilia kusema "chai" badala ya kutafuta maarifa sahihi kunaonyesha ni jinsi gani taifa limeelemewa na mzigo wa vijana walio wavivu kwenye kutumia bongo zao