Makunganya nimeipata taarifa za awali hazikuwa sahihi huyu aliwauza waafrika wenzake alifanya biashara ya watumwa na pembe za ndovu.
sasa kama aliwauza waafrika wenzake tena kwa kuwadhalilisha kwanini alipewa mtaa? kwa kabila ni Muyao na alikufa kwa kunyongwa na Wajerumani.
Kukimbilia kusema "chai" badala ya kutafuta maarifa sahihi kunaonyesha ni jinsi gani taifa limeelemewa na mzigo wa vijana walio wavivu kwenye kutumia bongo zao
Kukimbilia kusema "chai" badala ya kutafuta maarifa sahihi kunaonyesha ni jinsi gani taifa limeelemewa na mzigo wa vijana walio wavivu kwenye kutumia bongo zao