Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Na radio anamiliki nani
 
@Kim Jong Jr
 
Najua wengi mnalazimisha zisiwe zaMond ili mfariji nafsi zenu kwamba haiwezekani kwa mziki huu mnaojua jamaa kupiga mahela. Hamko wenyewe wasanii wengi pia wanaamini kama nyie halafu jamaa ndio anapiga hatua za fasta.
Kubalini inawezekana na nyie jitumeni katika kile mnachofanya mtafsnikiwa tuu
 
Mimi nakubali wasafi ni yako mkuu.
 
yanamuispire
Tuanzie hapo. Wew anakuispire umefikia wap? Acha kukariri maisha kijana badala ya kupambana unaabudu wanadamu wenye viungo ka vyako. Wewe toka uanze kumwabudu mbona hata robo humfikii. Endelea hivyo afu uzee utapata cha kuadisia wajukuu wako.
 
Mimi nakubali wasafi ni yako mkuu.
Si hivyo watu hamtaki kukubali hard work pays, mmekalia Mondi hii si yake, mara freemasons, mara anatumiwa. Zamani ilikuwa ukitoka nje ya maeneo yenu ukarudi umefanikiwa utasikia jamaa katoka Mombasa huyu. Watu badala ya kupata hamasa kwamba yeye kaweza kwa nn mimi nisiweze mnakaa mnaumiza kichwa nani anamiliki % ngapi. Kuwa na Radio au TV sio big deal kihivyo, mbona hamumsemei Majay alikuwa DJ tuu wa club ana Radio na TV station???? Na wengi wenu humu ni wale ambao mmeaminishwa kusoma sana ndio mafanikio halafu sasa hivi reality inawatandika usoni.
 
Wala hujakosea mkuu,ndio maana nikasema mimi naamini ile Wasafi ni ya kwako/unaimiliki wewe mzee baba.
 
Tuanzie hapo. Wew anakuispire umefikia wap? Acha kukariri maisha kijana badala ya kupambana unaabudu wanadamu wenye viungo ka vyako. Wewe toka uanze kumwabudu mbona hata robo humfikii. Endelea hivyo afu uzee utapata cha kuadisia wajukuu wako.
Nakubali,simfikii hata chembe ila naapreciate hustle zake na sina wivu na chuki wala husda na mafanikio yake kama nyie haters,napambana japo nifikie hata chembe tu ya mafanikio yake,na ukubali tu hatufanani ila aliyetoka katoka,ukileta chuki zako ndio kwanza Allah ndio anamuongezea
 
Kama Dj kama Majay ameweza kumiliki Tv na Radio Efm na ETV kwanini isiwezekani kwa Mond?
Nadhani watu wanachofanya, hapa wanajipima maendeleo yao wanaona kijana kawapiga bao la mbali wanaamua kutafuta njia ya kupooza nafsi ndio hapo wanakuja na mambo ya %, mara freemason nk nk.
Nafsi zao haziwezi kukubali Mondi ni mtafutaji kwa sababu kwao ni kama kukubali kuwa wamefeli maisha.
 
Probably hii mada umeikosea .

Ulichokifanya wewe nikuwasilisha mada katika inverse form,. Kwakuwa wamiliki wa Wasafi ni watatu kama ulivyosema ,basi nilitegemea kuona heading yako ikisomeka "WAJUE WAMILIKI HALALI WA WASAFI" lakini imekuwa tofauti.

Sasa hapa ndio maana unajaribu kutumia effort kubwa sana kuwaelewesha raia.
Heading yako na content vimeonesha kuwa Unamfafanua diamond kama sio mmiliki na hana share.

So kuwa makini mkuu ,next time fanya editing kwanza ya unachokuwa unaandika.
 
Unajua maana ya MAJORITY SHAREHOLDER?

FB inamilikiwa na wengi ila Mark Z. ndio anaongelewa sanaa.
AMAZON inamilikiwa na wengi ila JACK M. ndio figure.

Thats corporate governance.

#YNWA
Yaani umeshasahau kichwa Cha habari ulichoandika, we umesema "mfaham mmiliki wa wasafi" na sio shareholder
 
Kama Dj kama Majay ameweza kumiliki Tv na Radio Efm na ETV kwanini isiwezekani kwa Mond?
Kwa hiyo Mondi ndio mmiliki wa Wasafi Media? Nataka nibu 1 tu maelezo yashatolewa na Liverpool VPN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…