Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Kama Dj kama Majay ameweza kumiliki Tv na Radio Efm na ETV kwanini isiwezekani kwa Mond?

Unajua background ya Majay?? Kama haujui basi usifananishe Shati na Fulana ingawa zote zinavaliwa kifuani
 
utashangaa clouds hawapigi songs za wasafi, hiyo ni njia ya kufanya biashara.

utashangaa hao mashabiki wenye team za wasanii wakilumbana, hiyo ni namna ya kukuza biashara.
ila kiuhalisia hao wasanii wana mahusiano mazuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…