Babalao250
Member
- Jul 26, 2020
- 12
- 10
Je nani anaplay part kuu kwenye kampuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaobisha walete facts mezani.Asante kwa kuleta ushahidi huu mezani mkuu maana vijana wa siku hizi wana ushabiki maandazi sijapata kuona. Nadhani sasa kila kitu kimekaa sawa. Ngoja wabishi na matomaso waendelee kubisha.
Hakuna anayetaka kushusha mondini ujinga kujaribu mshusha daimond ama kumdharau..Dogo akili nyingi..ontop of that yeye pale ni managing director so ana influence uendeshaji wa kampuni wa kila siku,pia ameshika asilimia kubwa sana ya matangazo refer kila Tangazo la pepsi lazima awe main actor ..ile ni nje ya yeye kuashareholder na MD ..sijui kwanini dogo anashupa mishipa ya shingo.
Mkuu title ungesema wajue "wamiliki" badala ya "mmiliki".Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.
Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)
Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga..!!
Kwanini nasema hivyo?
Hebu tuingie darasani...
Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The majority shareholder is the owner of the company"
Hili ndilo lililoifanya Simba SC. Kumnyima 50% of the shares MO na kumpa 49.
Kwasababu siku zotee anaemiliki 50% na zaidi ndio mmiliki mkubwa na mwenye sauti (high voting power).
WASAFI TV share holders...
Who is majority shareholder?
1. Zaghalulu Ajmy (Mke wa Kusaga) = 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) = 45%
3. Ali Khatib Dai = 2%
Then the majority share holder is 1 = mke wa kusaga = Kusaga.
![]()
Juhayna na mumewe Joseph Kusaga
Yeye ndiye mmiliki wa Prime Times Promotion na yeye ndie muandaaji wa Tamasha la fiesta.
Kwahiyo kulihamishia WASAFI TV hakuna shida.
Mahindi ya heri
Shamba la heri
Mbuzi wa heri
YOTE HERI.
Nimemaliza.
#YNWA
"" .......wangekuwa na akili kama zako leo,""Sio Major ila 45% si haba,watu wanangalia kutengeneza hela na si mashindano ya nani ni major shareholder wangekuwa na akili kama zako leo,Wasafi media isingekuwepo.
Sasa wewe una brand kubwa imekaakaa tu mtu anakuja na hela zake anasema nataka kuwekeza ktk brand yako,kuhusu umiliki wewe utakuwa 45% na yy 53% ,mnaingia mikataba kisheria hivi utakataa? au ndio utang'ang'ania kuwa MAJOR SHAREHOLDER?
Yap.Okay...I got you
If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
SijasomaMleta uzi acha kujificha kwenye elimu ya marketing
Kwanza lazima ujue kwenye soko la hisa 43% sio ndogo kiasi cha kusema Nasib Abdul sio mmiliki wa wasafi media
Pili: Wasafi ni brand ya Diamond Platnumz toka 2010 ko wasafi media ni jina lipo chin ya Nasib hili Kila mtu analijua hata kama hajasomea hio marketing
Tatu: Wasafi media jua kabisa inaeza kwenda kwa sababu Diamond is there ila haiwez kwenda sababu Johaina Kusaga yupo pale since hata kwa haraka haraka Kila mtu anajua kua Diamond ndio sura ya kampuni
NNE: ukishindwa kuelewa hizo hoja 3 hapo juu ntakuletea zingine na uache kuona kusoma kwako marketing bas watu hawaelew
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.Mleta uzi acha kujificha kwenye elimu ya marketing
Kwanza lazima ujue kwenye soko la hisa 43% sio ndogo kiasi cha kusema Nasib Abdul sio mmiliki wa wasafi media
Pili: Wasafi ni brand ya Diamond Platnumz toka 2010 ko wasafi media ni jina lipo chin ya Nasib hili Kila mtu analijua hata kama hajasomea hio marketing
Tatu: Wasafi media jua kabisa inaeza kwenda kwa sababu Diamond is there ila haiwez kwenda sababu Johaina Kusaga yupo pale since hata kwa haraka haraka Kila mtu anajua kua Diamond ndio sura ya kampuni
NNE: ukishindwa kuelewa hizo hoja 3 hapo juu ntakuletea zingine na uache kuona kusoma kwako marketing bas watu hawaelew
Okay...I got you
If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
Tafuta hela bro usihangaike kuweka usoni wako kwenye biashara za watu unapoteaTurudi darasani...
Ukisoma marketing vizuri inakwambia.
Company has many involvers...
1. Shareholders
2. Company management
3. Corporate board
4. Creditors
5. Debitors
6. Customers
7. Government organisations (like TCRA and TRA for WASAFI TV)
8. Employees
9. CSR
10. E.T.C
But the better and the worst thing is "customers are the one who makes company fail or succes"
Then nina king'amuzi nyumbani "automatically am there customer"
I should involved in brother.
#YNWA
Acha ujinga uende mbinguni punguani wewe. Vijana wa mondi kwanini mnakuwa mazeze hivyo? Kwa Kusaga kumiliki kuna kuuma nini? Jamaa katoa darasa/elimu wewe unauliza anamiliki nin? Acha ujinga bana,au wivuKwani unateseka hata huyo usiyemtaka kumiliki hizo hisa chache zilizobaki??
We unamiliki nini??
Hiki ndicho nilichomaanishaUpo sahihi mzee
Okay...I got you
If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
Mkuu achana na mambulula na mazezeta ya Mondi badala ya kuja na hoja wanakuja na vihojaSijasoma
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.
Juu ya yotee uliyoandika ila Sheria ya hisa inasema "mwenye hisa nyingi ndio last say, hata mkipiga kura kwasababu yeye ana hisa nyingi lazima akufunike"" then owns all rights.
👇👇👇👇
...Tafuta hela bro usihangaike kuweka usoni wako kwenye biashara za watu unapotea
Chukua na hiiVijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.
Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)
Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga..!!
Kwanini nasema hivyo?
Hebu tuingie darasani...
Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The majority shareholder is the owner of the company"
Hili ndilo lililoifanya Simba SC. Kumnyima 50% of the shares MO na kumpa 49.
Kwasababu siku zotee anaemiliki 50% na zaidi ndio mmiliki mkubwa na mwenye sauti (high voting power).
WASAFI TV share holders...
Who is majority shareholder?
1. Zaghalulu Ajmy (Mke wa Kusaga) = 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) = 45%
3. Ali Khatib Dai = 2%
Then the majority share holder is 1 = mke wa kusaga = Kusaga.
![]()
Juhayna na mumewe Joseph Kusaga
Yeye ndiye mmiliki wa Prime Times Promotion na yeye ndie muandaaji wa Tamasha la fiesta.
Kwahiyo kulihamishia WASAFI TV hakuna shida.
Mahindi ya heri
Shamba la heri
Mbuzi wa heri
YOTE HERI.
Nimemaliza.
#YNWA
Nina zaidi ya degree @ Nina masters.jamaa anamiliki kadigirii ka maketingi, anakuja kumsema mwanaume mwenzake ambaye ni fomu foo feliya mwenye pesa na biashara ambazo mleta mada hatokuja azipate mpaka kufa
alafu usikute mleta mada anaishi kwa shemeji yake
Okay...I got you
If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
Anaweza kuwa amefuatilia yote hayo kama mlaji wa huduma za WASAFI ana uhalali wa kufanya huo ufuatiliaji.⁰Ukishafatiria inakusaidia nini? Je wewe una miliki nini? Au kazi yako ni kuongea ya mafanikio ya wengine tu?
??????Chukua na hii
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe
Acheni upumbavu bwana.
Wasipoelewa hili BASI TENA.Anaweza kuwa amefuatilia yote hayo kama mlaji wa huduma za WASAFI ana uhalali wa kufanya huo ufuatiliaji.⁰
Faida ya yeye kufanya yote hayo ni kutambua wamiliki halali ili ikitokea dispute kati yake na WASAFI ajue nani ni mtu sahihi wa kumshtaki ukiacha kampuni.
Kuna wakati kampuni inaweza kufanya kosa lakini sheria ita angalia nani yupo nyuma ya kampuni na huyo ndio hushtakiwa. (LIFTING CORPORATE VEIL).
Mjinga usimwache apotee.Mkuu achana na mambulula na mazezeta ya Mondi badala ya kuja na hoja wanakuja na vihoja
Na ukute wanaelewa vizurii sema wamegoma kukubali tuu.Acha ujinga uende mbinguni punguani wewe. Vijana wa mondi kwanini mnakuwa mazeze hivyo? Kwa Kusaga kumiliki kuna kuuma nini? Jamaa katoa darasa/elimu wewe unauliza anamiliki nin? Acha ujinga bana,au wivu