Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Sasa Corporate Governance ndio imekufundisha kua Mke wa kusaga ndio kusaga? [emoji3] Mlisoma vyuo gani

Anyways kwanini hutak kuongelea brand ownership ambayo ni 100% iko owned na Diamond mwenyew..

Iko hivi Diamond anamilik wasafi as a brand kwa asilimia [emoji817]..brand ina nguvu kuliko hizo share za mke wa kusaga..kama unabisha basi mke wa kusaga asepe uone kama wasafi itaporomoka as if investor ni mke wa kusaga peke yake hapa Tanzania

sasa Mke wa kusaga anamiliki 53% peke yake..mond anamilik 100% ya wasafi as brand plus 45% ya wasafi media..[emoji3] bro ww ungepata hata 0.5 percentage ya wasafi usingekuja kusambaza chuki jf
Kuhusu brand sijafatilia labda ulete link ya PROOF.

Hii yangu ni kutoka maktaba za TCRA.

Leta proof nifatilie tafadhali.

Maana majority shareholder ndio humiliki most of the company rights in big term.

#YNWA
 
Shabiki wa WCB wewe?

#YNWA

Duh! Hebu kazana angalau uwe na simu yenye option nyingi,we unakazania hisa nyingi za kina kusaga, mmjjiinnggaa sana we jamaa
Uwe unauliza man, usiwe unapayuka, sasa umeandika nini?

Hizi social media apps unaweza kulog in kupitia apps na web browser.

Na JF natumia web browser kwasababu ya notifications (app haitoi notifications).

Na social media nazotumia mimi ni whatsapp na JF tuuu.

Kwa simu na miliki Tecno Cammon 16 Pro.

Umenisikitisha kijana, usiwe unapayuka hivi, unaaibisha.

Inawezekana ukatumia app,na pia browser ili kwenye mapungufu ya huku ,unapata kule..

Unatumia tecno halafu unakazania shere za watu kwenye kampuni.

Upgrade your status first bro!!.tecno sio simu[emoji3][emoji3]
 
Because am Financialist then am minimalist.

Techno kwangu inatosha.

#YNWA
 
Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.

Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)

Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga..!!

Kwanini nasema hivyo?

Hebu tuingie darasani...

Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The majority shareholder is the owner of the company"
Hili ndilo lililoifanya Simba SC. Kumnyima 50% of the shares MO na kumpa 49.
Kwasababu siku zotee anaemiliki 50% na zaidi ndio mmiliki mkubwa na mwenye sauti (high voting power).

WASAFI TV share holders...
Who is majority shareholder?
1. Zaghalulu Ajmy (Mke wa Kusaga) = 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) = 45%
3. Ali Khatib Dai = 2%

Then the majority share holder is 1 = mke wa kusaga = Kusaga.

Related image

Juhayna na mumewe Joseph Kusaga

Yeye ndiye mmiliki wa Prime Times Promotion na yeye ndie muandaaji wa Tamasha la fiesta.

Kwahiyo kulihamishia WASAFI TV hakuna shida.

Mahindi ya heri
Shamba la heri
Mbuzi wa heri
YOTE HERI.

Nimemaliza.

#YNWA
Maneno yote baada ya kusikia Tigo wamedhamini Wasafi festival,ila wafanyabiashara siku zote wanaangalia faida,so 45 si haba mzigo wa maana dogo anapata.

Haya maisha ni kushare kuna watu wanahela na hawana pakuziweka na kuikuza brand mpya ni kazi kubwa.Kuna redio zimekuja mpya zimefutika hazipo sababu brand yao sio maarufu.

So Diamond ana Brand ya Wasafi,Mke wa Kusaga anahela Kawekeza kupitia brand ya Wasafi ambayo inajulikana EA now kampuni imekuwa wanapiga hela ndio maisha hata Mark Zuckerburg hisa zake hazidi 25%,sioni cha ajabu Mondi kuwa na 45%.

David Mosha yule pale na hela zake kaanzisha radio mwisho wa siku ikamshinda kaachana nayo,husifanye masihala kutengeneza brand.
 
Kuhusu brand sijafatilia labda ulete link ya PROOF.

Hii yangu ni kutoka maktaba za TCRA.

Leta proof nifatilie tafadhali.

Maana majority shareholder ndio humiliki most of the company rights in big term.

#YNWA
"Leta proof nifatilie tafadhali."

Hapo utasubiria sana hio proof.
 
Maneno yote baada ya kusikia Tigo wamedhamini Wasafi festival,ila wafanyabiashara siku zote wanaangalia faida,so 45 si haba mzigo wa maana dogo anapata.

Haya maisha ni kushare kuna watu wanahela na hawana pakuziweka na kuikuza brand mpya ni kazi kubwa.Kuna redio zimekuja mpya zimefutika hazipo sababu brand yao sio maarufu.

So Diamond ana Brand ya Wasafi,Mke wa Kusaga anahela Kawekeza kupitia brand ya Wasafi ambayo inajulikana EA now kampuni imekuwa wanapiga hela ndio maisha hata Mark Zuckerburg hisa zake hazidi 25%,sioni cha ajabu Mondi kuwa na 45%.
Usichokijua ni 'Mark Zuckerberg owns a minority of the fully diluted total shares outstanding, but a majority of the voting shares.'

Hopefully unaelewa kilichoandikwa hapo.
 
Mark ana miliki 25% na ndio high share percent
Ila mond sio majority shareholder then hana major rights.

Kuhusu brand inahitaji kuthibitishwa maana the major shareholder holds major rights of the company.

#YNWA
 
Maneno yote baada ya kusikia Tigo wamedhamini Wasafi festival,ila wafanyabiashara siku zote wanaangalia faida,so 45 si haba mzigo wa maana dogo anapata.

Haya maisha ni kushare kuna watu wanahela na hawana pakuziweka na kuikuza brand mpya ni kazi kubwa.Kuna redio zimekuja mpya zimefutika hazipo sababu brand yao sio maarufu.

So Diamond ana Brand ya Wasafi,Mke wa Kusaga anahela Kawekeza kupitia brand ya Wasafi ambayo inajulikana EA now kampuni imekuwa wanapiga hela ndio maisha hata Mark Zuckerburg hisa zake hazidi 25%,sioni cha ajabu Mondi kuwa na 45%.

David Mosha yule pale na hela zake kaanzisha radio mwisho wa siku ikamshinda kaachana nayo,husifanye masihala kutengeneza brand.
Kuhusu brand sijafatilia labda ulete link ya PROOF.

Hii yangu ni kutoka maktaba za TCRA.

Leta proof nifatilie tafadhali.

Maana majority shareholder ndio humiliki most of the company rights in big term.

#YNWA
 
Usichokijua ni 'Mark Zuckerberg owns a minority of the fully diluted total shares outstanding, but a majority of the voting shares.'

Hopefully unaelewa kilichoandikwa hapo.
Umeongea kikubwaa sanaa bro.
Wasipoelewa hapa Basi tena.

#YNWA
 
Back
Top Bottom