MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
am= I'm= I am
there= their
Anajitia ujuaji kumbe hata kingereza hajui[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
am= I'm= I am
there= their
Wewe anamiliki Nini?".....uanze kufatiria miradi ya watu?" "
Umeelewa nilichokiandika au ni Lugha?
Nimekwambia...
Am the customer then am one of the mtu wa kufatilia because am there customer.
#YNWA
Mtoa mada ana wivuMkuu Ungeandika wajue wamiliki wa wasafi na sio mmiliki, Tambua kampuni kisheria na wamiliki ni vitu viwili tofauti, hapo kusaga anaingiaje?, Pili hoja yako ya umiliki wa asilimia haina mashiko wala uhusiano na kusaga. Tambua hata jeff bezos ni mmiliki na muanzilishi wa amazon na anamiliki 10% ya amazon.
Wasafi inawamiliki 3 sijui kwanini kamtaja 1Yaan watu wanapanic hovyo hovyo kisa tu Mond kutokuwa mmiliki wa hiyo wasafi aisee Mbona kawaida tu asante mtoa mada kwa kutujuzaa mana hata me nlkuwa najua ya Mond.
Yap he has success much.Kwa umri wa Mondi, background yake na elimu yake ndogo hata angemiliki 1% ya Wasafi media bado anastahili kutamba.
Do you know the value and function of a product/service customer?Ukishafatiria inakusaidia nini? Je wewe una miliki nini? Au kazi yako ni kuongea ya mafanikio ya wengine tu?
Mondi ni mmiliki ila sio majority shareholder.Mtoa mada ukiendelea na roho hiyo yenye wivu siku ukizeeka utakuwa mchawi. Basi tuambie nawewe unamiliki nini
Am the financial analyst and not grammar pro.am= I'm= I am
there= their
Am the FINANCIAL ANALYST and not a GRAMMAR PRO.Anajitia ujuaji kumbe hata kingereza hajui[emoji23]
duuh halafu hii ni I'd ya Kwanzaa niliyokutana nayo miaka 5 iliyopita nilipojiungaYaan watu wanapanic hovyo hovyo kisa tu Mond kutokuwa mmiliki wa hiyo wasafi aisee Mbona kawaida tu asante mtoa mada kwa kutujuzaa mana hata me nlkuwa najua ya Mond.
Nimeamua kuwaingiza darasani ili waelewe zaidi.Wewe ndiyo walijua leo..!!!
Nimekuja kukuelewesha tu juu ya corporate governance.Wewe anamiliki Nini?
duuh halafu hii ni I'd ya Kwanzaa niliyokutana nayo miaka 5 iliyopita nilipojiunga
Twende kwenye Mada watu wanapanick sababu huu uzi kauleta kishabiki Sana
Sasa kusaga anahusika vipi hadi amtaje si aseme juhyna tu Kama inavyoonekana
Chengine anafurahi mond kutokuwa na share holder kubwa .ila hajui Kama wamiliki ni watatu hajui Kama shareholders zinaweza kununuliwa, zinaweza ongezeka, zinawezapungua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Miaka mitano ilopitaa nlkuwa nashinda Sana Jfduuh halafu hii ni I'd ya Kwanzaa niliyokutana nayo miaka 5 iliyopita nilipojiunga
Twende kwenye Mada watu wanapanick sababu huu uzi kauleta kishabiki Sana
Sasa kusaga anahusika vipi hadi amtaje si aseme juhyna tu Kama inavyoonekana
Chengine anafurahi mond kutokuwa na share holder kubwa .ila hajui Kama wamiliki ni watatu hajui Kama shareholders zinaweza kununuliwa, zinaweza ongezeka, zinawezapungua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Irrelevant answers contrally to my questionTurudi darasani...
Ukisoma marketing vizuri inakwambia.
Company has many involvers...
1. Shareholders
2. Company management
3. Corporate board
4. Creditors
5. Debitors
6. Customers
7. Government organisations (like TCRA and TRA for WASAFI TV)
8. Employees
9. CSR
10. E.T.C
But the better and the worst thing is "customers are the one who makes company fail or succes"
Then nina king'amuzi nyumbani "automatically am there customer"
I should involved in brother.
#YNWA