Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Darasa zuri,lakini ungetoa somokama lilivyo bila kuhusisha wasafi tv .. ungeeleweka vizuri zaidi kwasababu tungeelekeza fikra namna shereholder % inavyokuwa na nguvu kwenye kampuni.
Kumuhusisha diamond imefanya somo lako lionekane kama unafiki ,lengo likiwa kutuonyesha diamond sio mmiliki wa wasafi,na sio kuelimisha hayo mambo ya shere.
Ndio maana baadhi wamechangia kwa povu.
Kumuhusisha diamond imefanya somo lako lionekane kama unafiki ,lengo likiwa kutuonyesha diamond sio mmiliki wa wasafi,na sio kuelimisha hayo mambo ya shere.
Ndio maana baadhi wamechangia kwa povu.