Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

jamaa anamiliki kadigirii ka maketingi, anakuja kumsema mwanaume mwenzake ambaye ni fomu foo feliya mwenye pesa na biashara ambazo mleta mada hatokuja azipate mpaka kufa

alafu usikute mleta mada anaishi kwa shemeji yake
 
Asante kwa kuleta ushahidi huu mezani mkuu maana vijana wa siku hizi wana ushabiki maandazi sijapata kuona. Nadhani sasa kila kitu kimekaa sawa. Ngoja wabishi na matomaso waendelee kubisha.
Wanaobisha walete facts mezani.

#YNWA
 
Hakuna anayetaka kushusha mondi
Na ukimuona mtu anaemshusha mwenzake Basi huyo ni mchawi tu tena mchawi hasa.

Nilichomaanisha Mondi sio majority shareholder.

Who is major shareholder, what are his/her rights, nadhani kuna internet unaweza soma.

#YNWA
 
Mkuu title ungesema wajue "wamiliki" badala ya "mmiliki".
 
"" .......wangekuwa na akili kama zako leo,""

Zipi hizo?

#YNWA
 
Okay...I got you

If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
Yap.

Hii ni bonge la point.

#YNWA
 
Sijasoma
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.

Juu ya yotee uliyoandika ila Sheria ya hisa inasema "mwenye hisa nyingi ndio last say, hata mkipiga kura kwasababu yeye ana hisa nyingi lazima akufunike"" then owns all rights.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Okay...I got you

If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win
 
Tafuta hela bro usihangaike kuweka usoni wako kwenye biashara za watu unapotea
 
Kwani unateseka hata huyo usiyemtaka kumiliki hizo hisa chache zilizobaki??

We unamiliki nini??
Acha ujinga uende mbinguni punguani wewe. Vijana wa mondi kwanini mnakuwa mazeze hivyo? Kwa Kusaga kumiliki kuna kuuma nini? Jamaa katoa darasa/elimu wewe unauliza anamiliki nin? Acha ujinga bana,au wivu
 
Mkuu achana na mambulula na mazezeta ya Mondi badala ya kuja na hoja wanakuja na vihoja
 
Tafuta hela bro usihangaike kuweka usoni wako kwenye biashara za watu unapotea
...
But the better and the worst thing is "customers are the one who makes company fail or succes"

Then nina king'amuzi nyumbani "automatically am there customer"
I should involved in brother.

#YNWA

Nilichomaanisha "mteja yoyote wa huduma au bidhaa kwakuwa ni mteja tu Basi ana haki ya kujua mengi juu ya kampuni impayo huduma""

#YNWA
 
Chukua na hii

Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
jamaa anamiliki kadigirii ka maketingi, anakuja kumsema mwanaume mwenzake ambaye ni fomu foo feliya mwenye pesa na biashara ambazo mleta mada hatokuja azipate mpaka kufa

alafu usikute mleta mada anaishi kwa shemeji yake
Nina zaidi ya degree @ Nina masters.
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.

Juu ya yotee uliyoandika ila Sheria ya hisa inasema "mwenye hisa nyingi ndio last say, hata mkipiga kura kwasababu yeye ana hisa nyingi lazima akufunike"" then owns all rights.
Okay...I got you

If an individual owns 51% of the shares, then have controlling ownership, since no matter how everyone else votes, their vote of 51% of the shares will always win

#YNWA
 
Ukishafatiria inakusaidia nini? Je wewe una miliki nini? Au kazi yako ni kuongea ya mafanikio ya wengine tu?
Anaweza kuwa amefuatilia yote hayo kama mlaji wa huduma za WASAFI ana uhalali wa kufanya huo ufuatiliaji.⁰

Faida ya yeye kufanya yote hayo ni kutambua wamiliki halali ili ikitokea dispute kati yake na WASAFI ajue nani ni mtu sahihi wa kumshtaki ukiacha kampuni.

Kuna wakati kampuni inaweza kufanya kosa lakini sheria ita angalia nani yupo nyuma ya kampuni na huyo ndio hushtakiwa. (LIFTING CORPORATE VEIL).
 
??????

#YNWA
 
Wasipoelewa hili BASI TENA.

#YNWA
 
Acha ujinga uende mbinguni punguani wewe. Vijana wa mondi kwanini mnakuwa mazeze hivyo? Kwa Kusaga kumiliki kuna kuuma nini? Jamaa katoa darasa/elimu wewe unauliza anamiliki nin? Acha ujinga bana,au wivu
Na ukute wanaelewa vizurii sema wamegoma kukubali tuu.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…