Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music

One Day- Nandy
Nifanane- Wahu
Katu katu - Maua Sama
Main Chick - Maua Sama
Your Love - Avril
Mwanamke Imara - Vanessa Mdee
Nipotezee - Hamissa Mobetto
Yanje - Ommy Dimpoz
Ni wewe - Ommy Dimpoz
You Are the Best - Ommy Dimpoz

tommyflevour_20200416_2.jpg
 
Anaweza kuwa mzuri ila akipata management mbovu ataonekana mbovu tu,
Uongozi sio wa kila mtu uongozi ni wito
 
Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music

One Day- Nandy
Nifanane- Wahu
Katu katu - Maua Sama
Main Chick - Maua Sama
Your Love - Avril
Mwanamke Imara - Vanessa Mdee
Nipotezee - Hamissa Mobetto
Yanje - Ommy Dimpoz
Ni wewe - Ommy Dimpoz
You Are the Best - Ommy Dimpoz

shida ya alikiba ukishajiunga kwenye record label yake unakuwa ni kama umejipiga kitanzi cha uvivu. hutoi ngoma mpaka yeye aridhike au mpaka akupe go ahead.

matokeo yake mda unazidi kukuacha nyuma, unakuwa unaishi maisha ya kupost picha instagram huku huna ngoma kali hata moja na deal za maana zinakupita.

huo ndio mfumo ambao alikuwa anawafanyia cheed na killy. kila wakitaka kuachia ngoma, kiba anawazuia. leo wamemkimbia maana waliona jamaa anawachelewesha.

niulize tu, tangu huyo tommy fleva ajiunge na alikiba mwaka jana, ametoa ngoma ngapi za kwake mwenyewe?.
 
Vee Ana nyimbo inaitwa Mwanamke imara?

Imetoka Lini?
 
Safari njema kwa mwana.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Tatizo promo ndogo angekuwa msanii wa upande wa pili kama ni kweli hizo nyimbo kaandika yeye basi angekuwa level za mbali sana huyo msanii....
 
Back
Top Bottom