Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

kama hizo nyimbo aliandika yeye basi kwenye upande wa mashairi yuko vizuri.
kuandika ni kitu kingine na kuimba ni kitu kingine.
sijawahi kusikia nyimbo yake hata moja aliyoimba, hivyo siwezi kum-jugde kwa sasa mpaka nitakaposikia nyimbo yake
 
Bora aka endelee na kuandikia watu nyimbo

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Ila Ali Kiba anafaa kwa matumizi ya binadamu jamani[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Vee ana nyimbo inaitwa "mwanamke imara"? Mbona sijawahi kuisikia achilia kuijua lol
 
Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music

One Day- Nandy
Nifanane- Wahu
Katu katu - Maua Sama
Main Chick - Maua Sama
Your Love - Avril
Mwanamke Imara - Vanessa Mdee
Nipotezee - Hamissa Mobetto
Yanje - Ommy Dimpoz
Ni wewe - Ommy Dimpoz
You Are the Best - Ommy Dimpoz

Jambo la ajabu bongo nasikiaga watu zaidi ya mmoja wakibrag kuandika wimbo ule ule
 
Mbona Kama nyimbo zote za kawaida hamna hata hit song. One day yenyewe ila ilazimishwa sana na Ruge na ilikuwa ya kawaida mno
 
Kahusika kwenye Dodo na so Hot pia Bounce ya Vanesa Mdee. Kijana huyu pia ni producer kuna wimbo ule You are the best kaandaa beat Melody mpaka mashairi.

Huo wimbo wa mwanamke imara watu wengi hawaifahamu ila upo.
 
Back
Top Bottom