Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

Mjue msanii wa Kings Music Tommy Flavour (Young King) mkali wa kuandika hit songs

shida ya alikiba ukishajiunga kwenye record label yake unakuwa ni kama umejipiga kitanzi cha uvivu. hutoi ngoma mpaka yeye aridhike au mpaka akupe go ahead.

matokeo yake mda unazidi kukuacha nyuma, unakuwa unaishi maisha ya kupost picha instagram huku huna ngoma kali hata moja na deal za maana zinakupita.

huo ndio mfumo ambao alikuwa anawafanyia cheed na killy. kila wakitaka kuachia ngoma, kiba anawazuia. leo wamemkimbia maana waliona jamaa anawachelewesha.

niulize tu, tangu huyo tommy fleva ajiunge na alikiba mwaka jana, ametoa ngoma ngapi za kwake mwenyewe?.
Vipi mzee hao akina Killy wako wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom