shida ya alikiba ukishajiunga kwenye record label yake unakuwa ni kama umejipiga kitanzi cha uvivu. hutoi ngoma mpaka yeye aridhike au mpaka akupe go ahead.Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music
One Day- Nandy
Nifanane- Wahu
Katu katu - Maua Sama
Main Chick - Maua Sama
Your Love - Avril
Mwanamke Imara - Vanessa Mdee
Nipotezee - Hamissa Mobetto
Yanje - Ommy Dimpoz
Ni wewe - Ommy Dimpoz
You Are the Best - Ommy Dimpoz
Kama ni kweli bc ana uwezo sasa tuone wa kwake atakaouimba ili adhihirishe.Inaelekea atakuwa mtu wa nyimbo flan za kimashairi zaidi kuliko hizi pararaaap vitu hata havielewek, mara tusi
Yaan dah najiuliza basata hiv ipo kwel au kz yao siyo hiz sahvnioneshe alichokupa mama.. '
Yaan dah najiuliza basata hiv ipo kwel au kz yao siyo hiz sahv
Wa kwake ni mpaka aandikiwe mkuuKama ni kweli bc ana uwezo sasa tuone wa kwake atakaouimba ili adhihirishe.Inaelekea atakuwa mtu wa nyimbo flan za kimashairi zaidi kuliko hizi pararaaap vitu hata havielewek, mara tusi
Kuliko zile za KWE KWE KWE...Kama ni kweli bc ana uwezo sasa tuone wa kwake atakaouimba ili adhihirishe.Inaelekea atakuwa mtu wa nyimbo flan za kimashairi zaidi kuliko hizi pararaaap vitu hata havielewek, mara tusi