Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, jina halali na halisi ni Milambo.Sahiisha iwe ''Mirambo'' si ''Milambo.''
hahahaWanyamwezi oyeeeee.
Babu yangu huyo..... Mtemi Milambo.
Kinyamwezi, kisumbwa kiarabu kiswahili nk. Lugha za makabila na kiswahili mixer kiarabunapenda sana historia kama hizi, ni wazi africa tilikuwa na mashujaa...natamani zitengenezwe movie za hawa mashujaa wetu na sisi tuwe na cha kujivunia na kufundisha vizazi vijavyo,
naomba kuuliza maana nimesoma na nimekuwa nawaza kwa sauti hivi kipindi hicho cha harakati za mtemi Milambo walikua wanaongea lugha gani..!!??
Ikiwa ni hivyo basi ni Milambo lakini sehemu nyingi inaandikwa Mirambo.Wanyamwezi hatuna r
mzee Kichuguu una fahamu chochote, Kuhusu mtemi shomari wa tabora igunga.??Tabora tumerithi integrity. Kinachoitwa maendeleo katika sehemu nyingine ni matokeo ya ufisadi na wizi, mambo ambayo yametuchangia watu wenye integrity kuonekana hatuendelei kwa vile jitihada zetu kimanedeleo zimekuwa zinauawawa na mafisadi.
Sijui sawasawa mipaka ya himaya za Milambo na Isike, ila walikuwa watemi wakubwa sana wa Tabora. Nadhani Milambo alikuwa wa Uyanyembe akiwa na makao yake upande wa magharibi wa sehemu inayojulikana leo kama Tabora Mjini wakati himaya ya Isike ikiwa upande wa mashariki wa sehemu inayojulikana leo kama Tabora Mjini. Sina uhakika sawasa kwa sasa, ila nitatafuta data zaidi kutoka kwa ndugu zangu huko Taboraili kujibu swali hili kwa ufasaha. Yeyote mwenye kujua sawasawa anaweza kutusaidia.