Sijui hata
Basi ntakuletea alkasusu mkuu
Moja kati ya principle za usomaji vitabu inasema, kuna baadhi ya sehemu zinakuwa hazijatiliwa mkazo au umepata concept halafu ikawa inajirudia, basi ukifika sehemu hizo unaweza kusoma kwa haraka.
Hiiiiiiiiii.
Hata kama, ndio sekunde tatu????Moja kati ya principle za usomaji vitabu inasema, kuna baadhi ya sehemu zinakuwa hazijatiliwa mkazo au umepata concept halafu ikawa inajirudia, basi ukifika sehemu hizo unaweza kusoma kwa haraka.
Ila utakapofika sehemu zenye concept muhimu au mpya, hapo ndio unatakiwa kupunguza speed kidogo.
Ndio iko hivyo nafikiri!
NdioNi wastani lakini, sio actual kama kwa kila page alifanya hivyo
Je walithibitisha ya kuwa hapo kabla hakuwahi kukisoma au kusimulia na mtu kwa namna yoyote ?
hata wa posta na maeneo mengine kusoma hivyoWanawake wa buza hawatoweza
ndo iwe kwa sekunde 3?Moja kati ya principle za usomaji vitabu inasema, kuna baadhi ya sehemu zinakuwa hazijatiliwa mkazo au umepata concept halafu ikawa inajirudia, basi ukifika sehemu hizo unaweza kusoma kwa haraka.
Ila utakapofika sehemu zenye concept muhimu au mpya, hapo ndio unatakiwa kupunguza speed kidogo.
Ndio iko hivyo nafikiri!