Nilichosoma hapo ni kwamba wamethibitisha baada ya kusoma, sasa sijaona taarifa za hapo kabla.Wanachosema ni kwamba wamethibitisha na wameridhia kwa ushahidi walioupata.
Embu jiulize huo mchakato uliendaje na ni kipi kigezo cha kitu kuwa "point" au andiko kuwa "point" ? Maana kama ni point tu, inawezekana alikuwa anaruka page kibao kufata point na hii ipo hasa ukijua maudhui ya kitabu husika.
Kwa minajili hiyo, na kiuhualisia hajasoma kitabu chote. Maana ya kusoma kitabu chote ni usome neno kwa neno,uzingatie na uelewe.