Nilichosoma hapo ni kwamba wamethibitisha baada ya kusoma, sasa sijaona taarifa za hapo kabla.Wanachosema ni kwamba wamethibitisha na wameridhia kwa ushahidi walioupata.
Kila mwanamke wa Humu jamvini Anawezahata wa posta na maeneo mengine kusoma hivyo
Wakati mm naweza chukua ata miaka miwiliAnaitwa Anne Jones.
Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu.
Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani wa kusoma kila page moja kwa sekunde 3 tu.
Kwa kuhakikisha kuwa ameweza kufanya hivyo, aliorodhesha point zote zilizopo kwenye kitabu hicho kwa waandishi wa habari na mwishowe wakaridhia.
Pamoja na kuweka rekodi hiyo, Anne alikuwa akishikilia rekodi ya kuwa mshindi wa mashindano ya dunia ya kusoma haraka ( World Championship Speed Reading Competition) kwa mara 6.
Je walithibitisha ya kuwa hapo kabla hakuwahi kukisoma au kusimulia na mtu kwa namna yoyote ?
Na ukitaka uzifuate hizo nyayo vizuri ukuje mitaa yng nkununulie kinywaji chenye hilo jina lako upate kuzifuata nyayo
Hata mimi nimejiuliza
Kinywaji gani hicho?Na ukitaka uzifuate hizo nyayo vizuri ukuje mitaa yng nkununulie kinywaji chenye hilo jina lako upate kuzifuata nyayo