Mimi ilikuwa inapigwa video call kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona umesahau kuwataja wale ambao wakikasirika wanaingia whatsapp na kuanza kujichatisha na wanaume wanaomshobokeaga, na kuanza kujichekesha chekesha kwa nguvu ili uumie.
yani kinachekecheka chenyewe kama kijinga.
chief unaishi na Unforgetable kwa akili?Mimi ilikuwa inapigwa video call kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Then baharia sina muda nimetulia tuu as if nothing is going on.
Baada ya kuona sijali ndio alizidi kupata wehu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa viumbe hawa? Kwa kweli tuishi nao kwa akili.
Cc Unforgetable
Umefufuka lini ka x kangu, mbona ulishatangulia?No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Kabisa
Baada ya kuona sijali ndio alizidi kupata wehu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ilikuwa inapigwa video call kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Then baharia sina muda nimetulia tuu as if nothing is going on.
Baada ya kuona sijali ndio alizidi kupata wehu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa viumbe hawa? Kwa kweli tuishi nao kwa akili.
Cc Unforgetable
Ndoa kifungo mpenzi huwezi kuwa free.Jamani unapotea sikuhizi..... Au ndo unalea ndoa mpenzi?
Oooh pole dear, na hongeraNdoa kifungo mpenzi huwezi kuwa free.
Eeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumsaidie. Maana hii lugha hata pogba wa chattle inampelekeshaHata hiyo 'your' imekaa kindezi tu , kwa ujumla kazingua