Mjue mwanamke

Mjue mwanamke

Mungu aniepushe na namba 5,sijui for how long nitajizuia “nisijitetee”!
Namba 7 haijawahi na haiwez kuja kua adhabu kwangu milele na milele Amina.yaani u hold me ransom sababu ya chiu??ukikataa mwanzo sitakuja kuuomba hadi siku uamue kunipa mwenyewe.
 
mbona umesahau kuwataja wale ambao wakikasirika wanaingia whatsapp na kuanza kujichatisha na wanaume wanaomshobokeaga, na kuanza kujichekesha chekesha kwa nguvu ili uumie.
yani kinachekecheka chenyewe kama kijinga.
Mimi ilikuwa inapigwa video call kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Then baharia sina muda nimetulia tuu as if nothing is going on.

Baada ya kuona sijali ndio alizidi kupata wehu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa viumbe hawa? Kwa kweli tuishi nao kwa akili.

Cc Unforgetable
 
chief unaishi na Unforgetable kwa akili?
 
No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Umefufuka lini ka x kangu, mbona ulishatangulia?

Unforgetable
 
Uyu mpya wa sasa akikasirika ananikomoa na iyo namba 7 ..yani ni shughuli mwanzo mwisho mpaka apoe[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom