Mjue mwanamke

Mjue mwanamke

Namba 8
Ana wiki ya tatu sasa hataki kupiga wala kutuma sms,yaani ni miaka mitatu tu lakini amesharudi kwao mara 4 kwa staili ileile.Na mimi nimeamua kukaa kimya tu.
 
No 3 inanihusu, yaani my wife wangu akikasirika basi hakuna kuongea, mashavu yamevimba kama anapuliza moto,kupishana kimya kimya ....basi nami nikiona hivyo simsemeshi, tutabaki kimya hivyo mpaka atakapojirudi mwenyewe
 
Back
Top Bottom