MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 811
Natumia song maker naingiza vocal kwa earphone. Kuhusu namba hapana mzee baba sorry
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia song maker naingiza vocal kwa earphone. Kuhusu namba hapana mzee baba sorry
Hapana
Sio kama naipenda ama siipendi,ni vile sikuwahi kujua nani kaimba hiyo nyimbo
Unaipenda au huipendi?
Jibu moja tu.
Jibu ni kama nililotoa hapo
Halipo jibu moja
Chagua kuwa wa baridi au wa moto, siyo uvuguvugu.
BTW nakusalimia.
Mtoto wa mkono maisha yana mshindaje??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kwa salamu,nimechagua kuwa vuguvugu
Wa muda wote?? Hebu fikiria vizuriNahreel ndiye producer wangu mzuri wa muda wote hiki ni kichwa hatari sana
Napenda style yake kwanza ngoma lazima iwe studio hipikwe haswa ndo iwe realized
kweli nilikosea producer wangu muda wote ni huyu hapa calledWa muda wote?? Hebu fikiria vizuri
Umezaliwa mwaka gani?kweli nilikosea producer wangu muda wote ni huyu hapa called
Nahreel
😀😀😀😀😀Umezaliwa mwaka gani?
yeah sasa ili swali ndo lilitakiwa liwe la kwanza kabisa mbona mnajitoa ufahamuUmezaliwa mwaka gani?
Haki yako. Ndio ubaya wa JFyeah sasa ili swali ndo lilitakiwa liwe la kwanza kabisa mbona mnajitoa ufahamu
1999
Kumbe ni hawa watoto wa juzi mkuu😀😀😀😀😀