Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ana umri wa miaka 41.
Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America.
Ni raisi machachari kwelikweli.
Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba.
Makundi ya kihalifu ndiyo yalitamalaki mengi yakigharimiwa na utajiri unaotokana na biashara haramu za madawa ya kulevya.
Lakini sasa el Salvador inatajika kuwa sehemu kuwa yenye usalama zaidi kiasi baadhi ya watu wanainasibisha na nchi ya Canada.
Je wajua anawafanya nini wanaotuhumiwa kujihusisha na uhalifu? Hii ni siri ya Nayb Bukele mwenyewe na washirika wake.
Sasaivi ameingia deal na Trump ampasie wale wahamiaji haramu wa kihalifu wasiotaka kurudi makwao.
Bukele anataka kuwapa nini hawa wahamiaji kutoka yuesi? Hilo analijua zaidi yeye mwenyewe Bukele na washirika wake na pengine Trump mwenyewe!
Hata sasa kutokana na hali ya amani na usalama wake, el Salvador imekwishahost mashindano makubwa kabisa ya kidunia ya ulimbwende.
Huyu ndiyo Nayb Bukele aka "Iron Fist" (Mkono wa Chuma) na el Salvador yake mpya.
Chao!