FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hicho ni Kiarabu, na hiyo ni Qur'an, lugha ya kwanza inayosomwa na kusemwa na nchi nyingi duniani.tumaandishi vya hicho kijarida chenu cha udaku wa marehemu Muddy tupo kama virus vya corona
Hakuna nchi alipokuwepo Muislam ikakosa kusoma,kwa uchache, mara tano Kwa siku tena bila kufunguwa kitabu. Licha ya wale wanaofunguwa kitabu.
Tazama kijana wa Kitanzania anavyowapagawisha wa Pakistan, Mataifa mawili tofauti, lugha zao yofauti, lakini Ma shaa Allah wanaunganishwa na Qur'an iliyoteremshwa Kwa Kiarabu. Jionee...
Wewe mwenyewe unaongea maneno chungu nzima ya Kiarabu,ukipenda usipende. Muujiza.