Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA

Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo

Ana miaka 89

Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982

Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7

2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka

2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto

February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani

Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025

Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani

Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
 
Uzi bila picha ni sawa na kupewa mbususu kwa maneno tu kwa njia ya simu.
 
Chantal Biya
Screenshot_20221028-191243_Chrome.jpg
 
Duh! Alikuwa wakati wa Nyerere.

Nyerere akaondoka, akaja Mwinyi.

Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa.

Mkapa akaondoka, akaja Kikwete.

Kikwete akaondoka, akaja Maghufuli.

Maghufuli akaondoka.

Sasa yuko Samia.

Yeye Biya bado yumo tu. Daah!

Kama ana miaka 89 na utawala wake ni wa miaka 40, ina maana alichukuwa nchi akiwa na miaka 49. Ametawala karibia nusu ya maisha yake hadi usawa huu.
 
PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA

Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo

Ana miaka 89

Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982

Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7

2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka

2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto

February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani

Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025

Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani

Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
Kwamba hamna mkameroon mwingine zaidi yake anayeweza kuongoza?
 
Duh! Alikuwa wakati wa Nyerere.

Nyerere akaondoka, akaja Mwinyi.

Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa.

Mkapa akaondoka, akaja Kikwete.

Kikwete akaondoka, akaja Maghufuli.

Maghufuli akaondoka.

Sasa yuko Samia.

Yeye Biya bado yumo tu. Daah!

Kama ana miaka 89 na utawala wake ni wa miaka 40, ina maana alichukuwa nchi akiwa na miaka 39. Ametawala kwa zaidi ya nusu ya maisha yake hadi usawa huu.
Mkuu suala la kutoa na kujumlisha nalo ni tatizo kwani?
Hesabu gani umeiiwianisha hapa?
 
Back
Top Bottom