Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

Pamoja na kukaa madarakani muda mrefu cameroun ina utulivu, haina mapinduzi ya kijeshi wala vikundi vya waasi ukiacha wahuni wa boko haram wanaosumbuasumbua mpakani
Cameroon kuna vita vinaendea kati ya sehemu ya kusini magharibi ambako walitawaliwa na UK na sehemu nyingine walikotawaliwa na France.

PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA

Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo

Ana miaka 89

Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982

Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7

2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka

2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto

February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani

Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025

Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani

Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
Sijui Ni kwanin huwa nawapenda watu wanao kaa madarakani muda mrefu nawakubali sna Kama mzee wangu musev
 
PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA

Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo

Ana miaka 89

Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982

Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7

2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka

2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto

February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani

Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025

Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani

Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
2025 wakimpa madaraka lazima watakuwa wagonjwa.
We are mortar beings
 
Na anaishi zake Paris.
Nchi anaiongoza kwa remote control.
 
Kwakuwa hakuna mapinduzi yanayotokea Mara kwa Mara andelee Milele maana huko kwao magharibi mpaka tumechoka utakia Mali,Niger,Nigeria Mara nyoko nyoko yaani ni tabu tupu Mara kanal Mara captain Mara Sargent yaani Ubabe Ubabe bunduki mizinga full Kelele.
 
Back
Top Bottom