Kama huu ndio usingizi wake ana haki ya kuishi miaka 100+Chantal BiyaView attachment 2400633
Kwamba hamna mkameroon mwingine zaidi yake anayeweza kuongoza?PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA
Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo
Ana miaka 89
Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982
Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7
2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka
2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto
February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani
Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025
Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani
Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
Tatizo la.waafrika.Kwamba hamna mkameroon mwingine zaidi yake anayeweza kuongoza?
Mkuu suala la kutoa na kujumlisha nalo ni tatizo kwani?Duh! Alikuwa wakati wa Nyerere.
Nyerere akaondoka, akaja Mwinyi.
Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa.
Mkapa akaondoka, akaja Kikwete.
Kikwete akaondoka, akaja Maghufuli.
Maghufuli akaondoka.
Sasa yuko Samia.
Yeye Biya bado yumo tu. Daah!
Kama ana miaka 89 na utawala wake ni wa miaka 40, ina maana alichukuwa nchi akiwa na miaka 39. Ametawala kwa zaidi ya nusu ya maisha yake hadi usawa huu.