Cameroon kuna vita vinaendea kati ya sehemu ya kusini magharibi ambako walitawaliwa na UK na sehemu nyingine walikotawaliwa na France.Pamoja na kukaa madarakani muda mrefu cameroun ina utulivu, haina mapinduzi ya kijeshi wala vikundi vya waasi ukiacha wahuni wa boko haram wanaosumbuasumbua mpakani
Hakuna inchi imetawaliwa na France ikose vitaPamoja na kukaa madarakani muda mrefu cameroun ina utulivu, haina mapinduzi ya kijeshi wala vikundi vya waasi ukiacha wahuni wa boko haram wanaosumbuasumbua mpakani
Sijui Ni kwanin huwa nawapenda watu wanao kaa madarakani muda mrefu nawakubali sna Kama mzee wangu musevPAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA
Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo
Ana miaka 89
Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982
Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7
2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka
2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto
February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani
Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025
Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani
Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
Uko sahihi, I will edit it accordingly. Ni 49, my bad.Mkuu suala la kutoa na kujumlisha nalo ni tatizo kwani?
Hesabu gani umeiiwianisha hapa?
2025 wakimpa madaraka lazima watakuwa wagonjwa.PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA
Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo
Ana miaka 89
Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982
Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7
2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka
2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya Maurice Kamto
February 2022 alitimiza miaka 40 Madarakani
Anatajwa kuwa atagombea tena Urais 2025
Anashika nafasi ya 7 kati ya Marais 10 wazee zaidi Duniani
Ni Rais wa pili kutawala kwa muda mrefu akimfuatia Rais Thedoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea anayetawala tangu 1979.
Mambo ya Mugabe mtake msitake2025 wakimpa madaraka lazima watakuwa wagonjwa.
We are mortar beings
Hata Mugabe nature na mambo ya mabadiliko ya tabia nchi ilibidi akalie pembeni ya barabara. Maisha yetu chini ya jua.Mambo ya Mugabe mtake msitake
Nguvu za kiume Hana. Labda azitafune na meno.Kazuia hata mvi ili kuukataa uzee!
Hahaha!Nguvu za kiume Hana. Labda azitafune na meno.