Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.
IIikuwaje,jengo lilikuwa kwenye ujenzi naye alikuwa sehemu ya Mafundi?.
 
Hawezi kuitwa Peter Mollel Gumbo. Hayo majina mollel na gumbo hayawezi kukaa pamoja

Hapo ni sawa na useme kuna mtu anaitwa Peter Marwa Massawe
 
Back
Top Bottom