kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 2, 2024 #281 Eti nae ni influencer wa ccm
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Dec 2, 2024 #282 lauzi96 said: Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa. Click to expand... IIikuwaje,jengo lilikuwa kwenye ujenzi naye alikuwa sehemu ya Mafundi?.
lauzi96 said: Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa. Click to expand... IIikuwaje,jengo lilikuwa kwenye ujenzi naye alikuwa sehemu ya Mafundi?.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Dec 3, 2024 #283 Hawezi kuitwa Peter Mollel Gumbo. Hayo majina mollel na gumbo hayawezi kukaa pamoja Hapo ni sawa na useme kuna mtu anaitwa Peter Marwa Massawe
Hawezi kuitwa Peter Mollel Gumbo. Hayo majina mollel na gumbo hayawezi kukaa pamoja Hapo ni sawa na useme kuna mtu anaitwa Peter Marwa Massawe