Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

Ila kile kifimbo cha yule Mzee sikuwahi kukielewa aisee, alihudhuria sherehe moja huko MUSOMA vijijini kwa ndugu zake wazanaki kumbe jamaa wameshafanya Yao mzee aliokolewa na kifimbo baada ya kukigusisha kwenye msosi
 
Msosi ukageuka kuwa buti la jeje
Hahahahahahaha
Hapana mkuu Mzee aliamini fimbo isipotoka baada ya kugusa chakula basi iko shida na ili itoke kuna maneno alinuizia kwa kizanaki na fimbo kutoka ndo sherehe zilipoishia kwani mwalimu aliondoka kwa maneno mazito ya kizanaki akiwasema ndugu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…