Mjue Raisi wa Croatia mama Kolinda Grabar.

Mjue Raisi wa Croatia mama Kolinda Grabar.

Moja ya vitu nilivyopenda WC hii ni huyo mama[emoji16]
 
Source ni nairobi news! Hahahah, ni sawa tu na mtu kuja na stori na kusema source n jf. Mkuu nenda hata wikipedia tu utapata background yote ya maisha yake, elimu yake, ndoa yake, familia, ajira n.k, huyo hajawahi kuwa mwanajeshi.
Kaaa we jamaa umenichekesha sana ngoja nikuache kwa hiyo mtu akikuambia chanzo ni jf sio habar ya kuaminika?
 
Kaaa we jamaa umenichekesha sana ngoja nikuache kwa hiyo mtu akikuambia chanzo ni jf sio habar ya kuaminika?
Jf unasema ni chanzo cha habari cha kuaminika mkuu?? Kwa maoni yangu humu jf kuna maoni tu ya wadau na sio habari za kuaminika mkuu. Humu kuna mpaka utani sasa itakuwaje ni chanzo cha habari cha kuaminika
 
Jf unasema ni chanzo cha habari cha kuaminika mkuu?? Kwa maoni yangu humu jf kuna maoni tu ya wadau na sio habari za kuaminika mkuu. Humu kuna mpaka utani sasa itakuwaje ni chanzo cha habari cha kuaminika
Haaa hii unayoniambia leo ni mpya basi mnaofanya utani ni nyie lakin jf ni chanzo cha habar cha kuaminika tia akilini kama ni utani basi hii forum ingeshafutwa kama kuna taarifa za kizushi
 
Haaa hii unayoniambia leo ni mpya basi mnaofanya utani ni nyie lakin jf ni chanzo cha habar cha kuaminika tia akilini kama ni utani basi hii forum ingeshafutwa kama kuna taarifa za kizushi
Ni chanzo cha kuaminika kama tu habari hiyo umethibitisha. Humu habari zipo nyingi, zipo siasa, udaku na umbeya pia upo. Huwezi sema hii ni credible source of information, labda tutumie neno lingine mkuu. Mfano mzuri ni hata hii habari yako wapo watu wanakuchallenge, ni vipi mtu anaweza kutegemea taarifa yakoo hii.
 
Ni chanzo cha kuaminika kama tu habari hiyo umethibitisha. Humu habari zipo nyingi, zipo siasa na udaku pia upo na umbeya pia upo. Huwezi sema hii ni credible source of information, labda tutumie neno lingine mkuu. Mfano mzuri ni hata hii habari yako wapo watu wanakuchallenge, ni vipi mtu anaweza kutegemea taarifa yakoo hii.
Kuchallenge lazima hilo lakin kumbuka habar nyingi za hapa huanza kama fununu baadae huwa kweli hamnaga taarifa ya muhimu hapa ikaletwa ikawa ya uongo hasa zinazolenga vitengo nyeti.
 
SIX THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT CROATIAN PRESIDENT (SHE’S A COMMANDO)
















WhatsApp-Image-2018-07-18-at-10.56.31-524x350.jpg
Croatian President Kolinda Grabar Kitarovic is an army commando. PHOTO | COURTSEY
By NAHASHON MUSUNGU
Football fans who watched Croatian President Kolinda Grabar Kitarovic at the 2018 Fifa World Cup were struck by her beauty, affectionate smile and selfless support for her national team.

But what else is there to know about the Head of State, who arguably turned out to be the biggest celebrity outside the pitch during the football tournament in Russia?

Here are six things to know about the Croatian President.

1. She was born in Rijeka, Croatia, which was then part of the greater Yugoslavia. Her parents owned a butcher shop and a ranch.

2. A perfect example of ‘beauty and brains’. She studied at George Washington University, Harvard and John Hopkins University in the United States. She graduated with a degree in International Relations and a doctorate in the same.

3. She became the first woman to be the Nato Assistant Secretary General for public diplomacy. In Nato circles, she is known as SWAMBO which implies she who must be obeyed. She also boasts of full military training in her native country and is known to be a no-nonsense woman and a bold decision maker.

WhatsApp-Image-2018-07-18-at-10.56.13.jpg


WhatsApp-Image-2018-07-18-at-10.56.53.jpg


4. Look away stalkers and admirers. Madam President is married to Jakov Kitarovic. They got married in 1996 and the couple has two kids Katarina and Luca.

5. She served as the Croatian ambassador to the United States during the regimes of George W. Bush and Barack Obama.

6. While our lawmakers were banking on tax payers money to head to Russia for the bench marking trip, Kitarovic bought her own economy class ticket and travelled to Russia to cheer on the Croatia national team. She was often spotted mingling with spectators and hugging sweaty players in the dressing room.
Nimejaribu sana kutafuta neno "komando" nikalikosa, au mkuu hiyo kuandikwa full military training na no-nonsense woman ndio umetafsiri ni komando?! Pia hilo la sijui kulenga shabaha sijui akikamata mashine hakosi nayo nimetafuuuuuta kwenye hiyo source yako nayo haipo, au mkuu umetolea chanzo gani kingine???
 
World Cup imemalizika na moja kati ya mambo yaliyovuta hisia za wengi ni Rais wa Croatia Mwanamama Kolinda Grabar. Wengi tumezoea kuona Rais akilindwa na walinzi lukuki lakini hali ni tofauti kwa Mwanamama Kolinda.

Baadhi ya Picha zake pia zimezua utata mwingi hata kuna video zikimuonyesha akiwakumbatia mashujaa wa Croatia walioloa jasho baada ya mechi kumalizika wengi wanajiuliza inawezekana vipi kwa Rais huyu Mwanamama kufanya yote haya? Kolinda Grabar mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Croatia kwa muda mrefu sana amefanya historia yake ya uongozi kukumbukwa zaidi katika World Cup ya mwaka 2018 zilizofanyika nchi Russia.

Lakini leo nakugusia mambo usiyo yafahamu kutoka kwa Rais huyu.

1. Ni Rais mwenye umri mdogo kuchaguliwa Croatia kulinganisha na viongozi waliopita.

2. Ni Mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa ya Urais katika nchi ya Croatia tangu wimbi la vyama vingi lilipoanza mwaka 1990.

3. Ni Mwanajeshi Commando mstaafu ambaye aliwahi kushika nafasi ya Naibu katibu Mkuu wa umoja wa Majeshi ya kujihami kwa nchi za Magharibi NATO (Haingiliki kirahisi si mtu wa mchezo mchezo unaambiwa kina cha bahari hakipimwi kwa kijiti)

4. Aliwahi kuwa balozi wa Croatia nchi Marekani mwaka 2007 -2011

5. Ni ACE Marksman Commando brigade unaambiwa akishika silaha hakosei pale anapolenga kama atapiga kichwa Sawa kama amelenga taya hakosi (Ina maana kuwa ni mtu wa Target kama mpo thelathi wote anawalaza chini)

Rais Kolinda enzi za kutumikia jeshi alikuwa ni mtu mwenye kupenda kuwatia Moyo wapiganaji hii ndiyo maana aliamua yeye mwenyewe kwenda nchi Russia kuwatia moyo wachezaji wa Taifa hilo katika michuano ya kombe la Dunia.
Chanzo kutoka mitandao mbalimbali.View attachment 812535View attachment 812536View attachment 812537View attachment 812538
Alikuwa Komandooo wa kutoa URODA
 
Mjue= mfahamu. Kuna tofauti kati ya kumjua na kumfahamu. Alinipa morali ya kuangalia mechi za Croatia.
 
Back
Top Bottom